Sam 2013
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 484
- 492
Nina imani wote mu wazima! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ningependa kujua bei ya CPU blower (mashine ya kufuta vumbi kwenye PC) hasa kwa maeneo ya Arusha na Moshi.
Pili ningependa kupata elimu kuhusu software za apple. Nimeona lecturer wetu mmoja anatumia Macbook pro kiukweli imetulia nilikua nahitaji kujua upatikanaji wa software zake kama ni free au za kulipia na maelezo mengine ya ziada. Aksanteni.