msaada; memory card yangu haisomi kwenye simu.

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
wakuu nisaidieni nina memory ya gb 8 ila tatzo imeharibika inaniandika MEMORY IS BLANK najaribu kuERASE lakini inagoma haisomi hata kwenye simu kwamba ipo
nifanyeje ama.nitumie app gani????
 
Download application kweny pc inaitwa memory recovery. Tafuta card reader ichomeke memory. Run hyo application. Unaweza kuangalia totorio kwenye yutyub namna ya kuitumia hyo application
 
tatzo.sina.pc mkuu nina simu tu
 
wakuu nisaidieni nina memory ya gb 8 ila tatzo imeharibika inaniandika MEMORY IS BLANK najaribu kuERASE lakini inagoma haisomi hata kwenye simu kwamba ipo
nifanyeje ama.nitumie app gani????
kama una PC tupa tu iyo memory card
 
Back
Top Bottom