Video imegoma Kuplay kwenye DVD player!

Video imegoma Kuplay kwenye DVD player!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,683
Nina video ambayo ni 720p MP4 lakini chaa ajabu kwenye DVD player yangu haitaki kuplay na DVD inasupport MP4 msaana nifanyaje iweze kuplay

Hizo video zipo kwenye Flash zingine zinaplay zingine haziplay hiyo Flash nimejaribu kuiweka kwenye SIMU yangu hiyo video kwenye Simu inaplay vizuri tuuu bila shida je nifanyaje ili iweze kuplay kwenye Dvd player yangu
1479188905889.png
 
Aaah mala nyingi mp4 kwenye deki zinasumbua. Emb jalib kuziconvert kuzipunguza had 480p
 
Pia jalib kusoma deck user manual huenda haisapoti mp4 inayofikia 720p
 
Kiufupi hakuna dvd inayokubal mp4 c0nvert kwenda mpg au kama ni mp4 i play katka AZAM dec0der
 
Back
Top Bottom