Natafuta Fundi PC charging system na screen

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
6,155
Reaction score
6,287
Wakuu nahitaji kutengeneza PC yangu ya toshiba screen imepasuka ndani afu pia kutengeneza charging system yake maana ikiwa on PC haipitishi chaji hadi iwe off. Naomba mwenye uwezo anitafute tuelewane na anifanyie kazi kwa makini, nipo Dar ni pm namba yako nakutafuta. Msaada wa haraka wakuu niendelee na masomo yangu. Maana PC ndo kila kitu.
 
Mkuu mbona matatizo yamekuwamengi? Uza ongeza hela nunua nyingine used.sasa hivi unapata laptop ukiwa na laki 3. Kwa nini usumbuane na mafundi?
 
hapana mkuu,kuna ndugu yang aliminya hii pc na usb ndo screen ikaharibika,afu na hili la chaji sielewi limetoka.kingne ni kwamba naipenda sana hii pc baada ya familia yang inafata yenyew na ni toshiba model ya zaman bado ni nzuri na iko vzur kwa kila kitu...sipo tayar kuipoteza.
 
nimekuelewa mkuu ...,coz nami niipenda sana my lenovo but imezima mwez wa tatu now not fair kabisa yan
 
Wakuu nahitaji kutengeneza PC yangu ya toshiba screen imepasuka ndani afu pia kutengeneza charging system yake maana ikiwa on PC haipitishi chaji hadi iwe off. Naomba mwenye uwezo anitafute tuelewane na anifanyie kazi kwa makini, nipo Dar ni pm namba yako nakutafuta. Msaada wa haraka wakuu niendelee na masomo yangu. Maana PC ndo kila kitu.
ok je unaweza kipiga picha nikutumia gharama za hicho kioo vioo vimegawanyinga kuna vinavyotumia inverter na visivyotumia na kuna vya L.E.D, LCD na vya size mbalimbali hiyo kazi naweza kukufanyia vizuri na je unasema ukiiweka kwenye charge bila kuiwasha inachajisha battery??? je tatizo la kutokucharge battery lilianza kabda ya kupasuka kioo au baaada
 
kuna uzi humu nliutupia na picha zake kuhus ilo tatzo la screen,so makutaftia uzione mkuu.kuhus charge ni imeanza mda kdgo sio baada y screen kupasuka.so unaeza jua tfanyaje?
 
inawezekana .. kwenye charging system yawezekana power unit(p.u) au integrated circuit zina-tatizo
 
Back
Top Bottom