Kazi ndogo tuu Bro! Ingia Facebook then ingia kwenye page yako, Click "setting" shuka mpaka chini Utaona mahali pameandikwa Remove/Delete your page hapo umemaliza Kazi.Habari za asubuhi watu wore.
Ninaomba msaada nawezaje kudelete page yangu ktk Facebook?...
Naomba msaada