Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Fgh
U Can't delete this!
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Natafuta usb wireless adapter ambayo nitaitumia kwenye desktop, hiyo desktop iwe inaweza ku-create hotsport,,,,,,, nipo arusha
0 Reactions
2 Replies
817 Views
nme install gta v kwny pc yangu bt baada ya kuilanch wakanidai cd key for actvation, na mm hapa nina set up tu... msaada kwa mwny cd key...
0 Reactions
2 Replies
624 Views
Naomba maelekezo namna ya ku unlock modem
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu nimuchoka kupoteza pesa kwa mafundi simu, mwenye kufahamu softwere ambaayo kwa sasa inatmika kudounload firmweres na kuflash simu za nokia kwa USB cable anisaidie jinalake. Nitashukuru wakuu.
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wanabodi habari kwenu, Naomba kusaidiwa nimetengeneza bootable flash kwenye Windows 8 nimefanya installation vizuri lakini nimejaribu Ku format flash nimeshindwa mwenye uelewa nawezaje format...
0 Reactions
5 Replies
751 Views
Wataalamu naomba msaada jinsi ya kupunguza MB ukisha rekodi video kwenye simu. Yaani narekodi video ina dakika 1 tu, lakini ina 40mb. Sasa nifanyaje ili iwe na mb ndogo? kama hizi video...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mambo vip wakuu ni matumaini yangu nyote Muu wazima Kiafya na poleni na majukumu mliyo nayo. Lengo la kuandika Uzi huu hapa jukwaani ni Kuomba ushauri na maoni yenu juu ya Blog hii niliyo nayo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau,natafuta relay ya volts 9.5, miguu 6. Tafadhali ni dharura.
0 Reactions
4 Replies
660 Views
Habari wana jamvi. Naomba kuuliza kwa waliowahi kutumia hizo simu za tecno N8 na Huawei Y3II. Napenda kujua ipi ni simu bora kwa kila idara kuanzia ukaaji wa chaji, ukubwa wa memory, processor...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Msaada imezima ghafla haiwaki tena,
0 Reactions
1 Replies
615 Views
Nimefanikiwa kuipata package ya continetal kwa kutumia king'amuzi cha Zuku ila tatizo channel hizi sauti inakata kata ila picha ziko safi tatizo nini wadau?
0 Reactions
23 Replies
4K Views
habari wakuu! naomba msaada wa kuweza kuunga laptop na copier canon ir3300 "n" ili niweze kuprint direct nimeshapata crossover cable ila nashindwa jinsi ya kufanya installation na driver zipio...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Ndugu mwana jf please husika na kichwa cha habari hapo juu . ombi langu nikutaka kujua tatizo ni nini? na inasezekana kutengenezeka? na inawezekana kwa bei gani ikiwa inawezekana? Ni ayo tu msaada...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Habari wakuu Natumia window 7 proffesional service pack 1 build 7601,sasa kuna baadhi ya drivers zipo out of date na zinasababisha pc haifanyi kazi vizuri, drivers zenyewe ni INTEL CHIPEST...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naomba ushuhuda wa aliyepata premium adsense Aliipataje? Katika mazingira gani? Bado anaitumia? Tofaut yake na adsense za kawaida ni ipi? Natanguliza...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari Wana JF Napenda kuchukua nafasi hii kuwatangazia wataalamu wa kutengeneza Website ya Kampuni. Ni kampuni itakayohusika na mauzo ambayo wateja wataweza kulipa kwa kutumia Mobile Money...
0 Reactions
1 Replies
775 Views
Habarini Wadau, Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote nina swali hapa kidogo ningependa kufahamu ni Jinsi gani naeza pata acount ya AdSense hata kama cjatimiza vigezo tafadhali kwa...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari zenu vijana na wazee Kuna hii mambo ya kufanya kazi online na mwishowe wanalipa, kuna website moja nimejiunga hapa inalipa kwa kila ninapo click ads zao na wana lipa dollar moja hadi nusu...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom