Wapi nitapata Kioo cha Laptop, Samsung Np N100sp

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,407
3,259
Wakuu laptop yangu Samsung Np n100sp imevunjika kioo haionyeshi kitu

Mwenye kujua wapi naweza kupata mtaalamu akanibadilishia kioo tafadhali anijuze
 
Kimya wadau
1479211521716.jpg

Back
Top Bottom