Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu naombeni msaada katika hili. TCRA wanaweza ifungia website yoyote ya nje au ya ndani isionekane na wananchi? Yani namaanisha kwa mfano serikali inaweza ifungia mtaandao wa wikileaks au bbc...
0 Reactions
4 Replies
783 Views
Kila nikijaribu kupiga window 8 nifika katika kipengele cha press any key to from boot cd/dvd inaleta ujumbe huu! Na nikipiga window 7 inakubali na sasa hivi natumia window 7 je tatizo nini na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
natumia galaxy note 1 ambayo ni ya kikorea shv-e160 k 4.1.3 version nilikua na shida kuipeleka lollipop ila njia nnayoijua mimi ni kupitia odin leo nimedownload firmware 800mb ila kabla sjaanza...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Igweeee, wana JF simu yangu Tecno F6 inasumbua kwenye Play store kila napotaka kuupdate Apps ujumbe unaoukuja ni Unfortunaterly,Google Play has stopped. Tatizo lilianza niliporemove caches kwenye...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mambo vip wadau w JF. Kuna hivi vitu viwili hii RFID na hii mamba 666, hii RFID inasemekana huwa ina ekwa ktk mwili wa binadam eti then anakuwa anaweza aka nunua bidhaa kupitia hii RFID, alaf pia...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hivi kuna namna yeyote ya kuniwezesha kudowload kitabu ambacho kinauzwa amazon for free? Kitabu hakipatikani website zingine
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habarini za mchana ndugu wapendwa, Ni application zipi za android zinafaa kwa text application kwa kutuma kama meseji za kawaida na launcher ipi kwa smartphone yafaa [emoji120] [emoji120]...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
natafuta dictionary yenye mifano ya picture nipate kui download
0 Reactions
5 Replies
814 Views
Nilinunua flat screen ya Sony Bravia inayosupport MHL.Tatizo sio simu zote zina hii feature ya MHL yaani kudisplay contents za simu kama picha na yotube videos kwenye screen ya TV.Naomba ambaye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nlinunua pad za kucheza Game kwenye PC sasa nkafika home nkachomeka zinagoma ila zinawaka vizuri vitaa vyake,pad zenyewe ni UCOM..... je kuna tatizo gani?
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Data Recovery ( Natafuta mtu ambae anaweza kurudisha data zangu ) - OS ni Ubuntu 16.06 Tuwasiliane kwa mwenye uwezo
0 Reactions
11 Replies
1K Views
kama nilivyotambulisha tatizo hapo juu. simu yangu aina ya huawei y520 batani zake ni ngumu sana kuditect yaani inabidi nitumie nguvu kuzipress tatizo lawezakuwa nini na vp kuhusu solution, pia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello wadau na maprogrammer wote mlioko humu naomba msadawenu katika hili,Kwa sasa nipo kwenye final Stage ya kuimalizia System itakayoitwa Academic Management System ,hii system nimebase zaidi...
1 Reactions
0 Replies
726 Views
Habari wandugu! Ninamiliki Samsung J7, tangu juzi inaniletea message kama inavyojionesha kwenye picha hapo. Msaada please how to resolve this: K
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je una iPhone ilyochakaa housing au unapenda kubadili mwonekano wake ?? Km vile rangi au style yake kwa ujumla...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi. Naomba kupata uzoefu juu ya android tv box.yan matumizi yake,changamoto zake,na uzuri wake.nahitaji kununua ila sina uzoefu nayo. Shukrani
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nimedowload GTA V ili niweze cheza kwenye PC na nikainstall vizuri ila kila nikitaka kucheza inaniambia hii version sio kwa PC yangu nitafute version itakayoendana na PC yangu..nimeambatanisha na...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
habari wakuu Kuna tatizo nimepata kwenye tachno boom j8 yangu .. niliiroot simu yangu hii na ikawa rooted vizuri kabisa,sasa nikainstall app inaitwa romtoolbox ile niweze kufuta whatsapp...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom