Jinsi ya ku-UNLOCK simu yako

Sass mkuu unlock hiyo ipi, ya sim network au ya laini zote mkuuu, plz fafanua kidogo tupate mwangaza
 
Na simu network zimegawanyika, kuna zile za kutoka nje ya nchi na
 
hapo naona kuna online au creditcard payment ....
hiyo free inapatikana wapi? au ilikuwa kipindi cha january
 
Nina Huawei Home router.
Model:HUAWEI Lte CPE B593s-22

IMEI:860091023456914

Msaada waku unlock niwenatumia line zote kwa sasa ni smile tu.
Chiwaso inawezekana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom