Msaada: Software ya ku unlock simu

Msaada: Software ya ku unlock simu

MWANAJAMIA

Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
47
Reaction score
45
Kwa anayejua software ya ku unlock simu ili iweze kutumia line zote Nitajie.
 
Kwani simu yako ni aina gani?, Chipset yake ni aina gani? Na inatumia Os ipi? Miracle box version ya 2.27a crack ina unlock baadhi ya simu lakni siyo zote.
 
Back
Top Bottom