Tecno boom j7 inagoma kudownload video

Tecno boom j7 inagoma kudownload video

Jumaa gosso

Senior Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
188
Reaction score
127
Simu yangu aina ya tecno boom j7 inagoma kudownload video kwenye browser. Tatizo nini wadau, msaada please.
 
Simu yangu aina ya tecno boom j7 inagoma kudownload video kwenye browser. Tatizo nini wadau, msaada please.

Kwani ni lazma utumie browser...?

Kama ni lazma, unatumia browser gani...?

Memory ipo ya kutosha, bundle/internet...?

Website nyingine inafungua...?

Tatizo limeanza ukiwa unaendelea kutumia simu au limekukuta katikati...?

Umejaribu browser tofauti tofauti...?
 
Utakuwa unakosea wewe mwenyewe namna ya kuitumia
 
Back
Top Bottom