Sasa si tutagongwa na nyokaTumia Halotel kila ukiwa porini ndo mtandao unaongezeka nguvu
Namaanisha vijijini mkuu sio ulivyofikiriaSasa si tutagongwa na nyoka
Mjini kati kati ndo wapiKwa kweli Vodacom network inakatisha tamaa,fikilia nipo mjini katikati na wala siyo nje ya mji,nanunua kifurushi cha internet GB10 cha buku 12000 per wiki.lakini internet speed jamani ni kichefuchefu aisee,inanikera kupita kiasi,inatumia mwendo wa baiskeli kutoka Mwanza to Dar.sina hamu nayo
Asiyeweza elewa mjini kati ni wapi ni mwenye akili mbovu,wenye akili wote watajua nimemaanisha nini.ukiwa mtumishi wa kampuni unalibeba unaenda nalo ofisini kwenye staff meeting ili wajue wateja tunapata tabuMjini kati kati ndo wapi
Ungetaja location yako ingekua vizur kusaidiwa...inawezekana pia tatizo likawa ni kwako tu ndio mana nmekuulza eneo lako.Asiyeweza elewa mjini kati ni wapi ni mwenye akili mbovu,wenye akili wote watajua nimemaanisha nini.ukiwa mtumishi wa kampuni unalibeba unaenda nalo ofisini kwenye staff meeting ili wajue wateja tunapata tabu
voda washazidiwa kila kitu, bei ya vifurushi kubwa, mtandao hovyo,Ha ha huku nanjilinji mtwara ni shida. Network iko kama mwendo wa konokono
Wewe ni mtumishi wa kampuni?hujitambulishi sasa utanihudumia vipiUngetaja location yako ingekua vizur kusaidiwa...inawezekana pia tatizo likawa ni kwako tu ndio mana nmekuulza eneo lako.
Hakuna mtandao ulio vizur kila eneo,halotel wamejitahid kusambaa japo maeneo ya mjin nao speed imedrop,voda washazidiwa kila kitu, bei ya vifurushi kubwa, mtandao hovyo,
mie na voda tushatalikiana