Msaada kwenye teknologia ya mtandao wa 4G

davibby

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
317
244
ningependa kufaham vizuri ni band ipi simu uwe nayo ndo iwe ina support TIGO au VODACOM 4G. maana nina simu ina support 4g lakin hapa tanzania haishik kabisa yaani. na kingine ningependa kutambua pia kama simu za XIOMI REDMI note zitakuwa zinauwezo wakusupport 4g ya bongo maana hizi ni simu za kampuni zawachina.
 
Back
Top Bottom