iPad jailbreaking

iPad jailbreaking

GYNEOCOLOGIST

Senior Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
171
Reaction score
112
Wakuu nimelenga kufanya installation ya whatsapp katika Ipad 3. Nilivyofuatilia nikabaini kuwa ili kufanya hiyo installation ni lazima kuifanyia jaibreaking ( kuondoa vizuizi vya manufacturer) ipad. Nimefanikiwa kuifuatilia tutorial ya kufanya jailbreak ya iPad 3 kwa kutumia appdb lakini nimefika mahali nimekwama, inaishia hatua hii kama inavyojionesha hapa chini:
4117e971fbded7841924ece41e80dfe0.jpg


Hiyo ya mstari wa pili kulia icon ya kwanza na ya pili, basically hiyo ya kwanza appdb imefika mwisho then ndani yake ndio kuna apps nyingi. So nimeselect hiyo ya kwanza mstari wa pili kulia ambayo ni pandu jailbreak na hapo ndipo ilipoishia. In search ikifika mwisho inasema pandu jailbreak did not install retry. Msaada tafadhali may be nakosea mahali
 
iOS ngapi?
Kama upo latest versions pia inakua ngumu zaidi last time nimecheki iOS 9.3 haikuwa na Jailbreak japo sijafatilia since then

Ila it was as simple as A B C ku jailbreak iOS 8 ipad kwa kutumia Taig Jailbreak

WeBV52.png
 
Back
Top Bottom