Anatakiwa mtengeneza blog

Anatakiwa mtengeneza blog

salari

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,836
Reaction score
6,514
Habari Wana JF,

Nahitaji mtu wa kunitengenezea blog nzuri, mwenye kutaka hii kazi please anipm. Naomba watakaonipm wawe detailed vilevile wanipe link nione blog ambazo wamezitengeneza. Na please bei iwekwe.

Ahsante,
 
ni rahisi sana kama ni blog hata wewe mwenyewe unaweza kutengeneza ndani ya dakika tatu na kuanza kuifanyia maboresho kidogo kidogo..kutengeneza blog sio kazi, kazi nzito ni contents na kutafuta traffic ya maana kama unataka kufanya kwa ajili ya business
 
Tupe determined zakutengeneza blog
 
ni rahisi sana kama ni blog hata wewe mwenyewe unaweza kutengeneza ndani ya dakika tatu na kuanza kuifanyia maboresho kidogo kidogo..kutengeneza blog sio kazi, kazi nzito ni contents na kutafuta traffic ya maana kama unataka kufanya kwa ajili ya business
Ndo maana mkuu namtafuta mtu afanye hiyo kazi (atakayenishauri yoooote hayo ya contents na traffic issues na mengine meengi) then miye nibakie kwenye my core business. Naamin sana kwenye kuwatumia wataalam mbalimbali hii hunisaidia kuokoa muda!!
 
mkuu kutengeneza blog ni simple sana kuna mtu alileta uzi hapa kuhusu kutengeneza blog kwa kutumia wordpress yaani ni chini ya dak 5 unamiliki blog yako. shida itakuwa nikwenye design kama utachagua free ila kama ni business unakuwa na room ya kui design kutokana na mahitaji yako
chakufanya ingia WordPress.com : créez un site ou un blog gratuitement na ufuate maelekezo na umiliki blog yako.
mimi nilifuata hayo maelezo na nikafanikiwa kutengeneze blog yangu hii hapa mjasitechnology
 
Ndo maana mkuu namtafuta mtu afanye hiyo kazi (atakayenishauri yoooote hayo ya contents na traffic issues na mengine meengi) then miye nibakie kwenye my core business. Naamin sana kwenye kuwatumia wataalam mbalimbali hii hunisaidia kuokoa muda!!
ok but kama unataka kufanya blogging na hauna idea ya nini haswa unataka kukifanya katika blogging hilo ni tatizo kubwa.. blog nyingi sana zimeanzishwa na kufa kwa kutokua na malengo.. Ili upate mafanikio kwenye blogging ni bora kufanya kitu ambacho unakijua(fani yako) i.e engineering, doctor, politics hapo utafanikiwa kama unataka kufanya clear/clean blogging faida utaipata baada ya miaka kadhaa blog lako ikianza kuwa index na google na search engine nyingine.. kama unataka kufanya dirty blogging kama za vijana wa facebook hiyo inabidi uwe na roho ngumu na faida unaweza kuipata mapema kwa kua utakua unapata traffic from social network(kwa kuweka mapicha machafu na ngono mtandaoni.. kama mtu unajiheshimu na una watoto, familia, na msoni ni aibu na upuuzi)... ***USHAURI***Fanya blogging kama hobi kwa kuandika vitu vyako vizuri unavyovifahamu kwa kina na havipo google baada ya miaka kadhaa (miaka mitatu) utapata faida za matangazo na utakua unapata faida kubwa na kutumia nguvu ndogo kwa kua visitor watakua wanaingia automatically(organic traffic) kwenye blog yako bila ku-share sana..Kifupi tafuta mdau atakaye kuelekeza jinsi ya kuandiaka contents nzuri/quality ambazo zitakua rahisi kuwa index, template nzuri etc .. Huu ni ushauri tuu
 
mbna ujashauri jinsi ya kutngeneza ndgu
 
Wait wait wait...... Dude! unajua kwamba Local thing suck!!!!
Kabla sijaja Huko DM wacha nkupe Vitu hapa "LIVE ARENA", Najua kwamba Kila Mtu humu atakwambia kwamba Kufungua Blog yako ni Very Easy😱😱 Ila in Reality hicho kitu ni Too complicated kuliko maelezo, Asilimia 90 ya wanao sema kwamba Kufungua Blog ni rahisi ni wale ambao wanatumia Either Blogspot ama Tumblur na Kibaya zaidi wameshindwa Kununua Domain wanazidi kutumia free Domain i.e xxxxx.blogspot.com au xxxxxx.tumblur.com ambapo ndani ya Hizo platform wanatumia Kila kitu free( Free Domain, free template,) kila kitu wanakuta teyari kiko saved.

Kufungua Blog Kunahitaji Kuwa na Vitu vifuatavyo:
1) Unique Tittle/Name
2)Idea/ni nini unachotaka Kusimamia
3) Own Domain na Hosting
Napoongelea Domain na Hosting namaanisha unapaswa kuwa na web adress yako Binafsi yaani www.yoursitename.com au www.jinalablogyako.co.tz( Hapa utaamua utumie dot com, au .co.tz, .ac.tz, .org etc). Hosting ni mahali ambapo blog/web yako itakuwa saved.

4)Publishing platform
Well well well..... Hapa ndio penyewe. Kwa hapa ni sehemu ambayo utakua unatumia kwa ajili ya Uandishi wa post/contents zako. Platform nazozungumzia hapa Ni Wordpress, Blogger, Druppal, Joomla, Tumblur nk.

Wait wait wait.... keep calm Tunaingia katika matengenezo ya Blog yetu.
Hapa kwa wale wanaofahamu Blog/web designing huwaga kuna Vitu husimamia katika Ujenzi wa Blig/web ni kama ilivyo kwa Fundi wa nyumba yaani Msingi, Lenta hadi Paa na katika Blog Designing tunaangalia Vitu Vifuatavyo:

1.User interface - Muonekano-
2.User Interaction- Mawasiliano/Contact Forms nk
3.User Experience- Busness na Mambo yanayoendana na hayo plus Research..

Mpaka hapo tupo sawa si ndio!!!... haya twendeleee...

Kuipata Domain ni Very Easy maana Yako makampuni mengi ambayo hutoa hizi Huduma hapa nyumbani na Huko mambele na zaidi ya yote makampuni hayo hayo hutoa hosting services hivyo usihangaike ni Two in One!!

MAONI YANGU.
Kwa Ulimwengu wa leo katika Blogging, WordPress ndio kila Kitu, na hizi ni sababu ni kwa nini Wordpress ni Kila kitu:

1. Rahisi kutumia
2. SEO(Search Engine Optimization Friendly). Google Loves WordPress
3.Awesome themes & Fonts . Ukitaka Mionekano/themes za Ukweli basi wordPress ndio Baba lao.
4. Less Coding Knowledge is required or some-time no Coding skills required.
5.Business Oriented. Kama utaamua kufanya Biashara katika Blog yako Basi Wordpress wanakupa nafasi kubwa kufanya hivyo kupitia Themes zao. Hapa nazungumzia Adsence au Affiliating Programs au Direct/custom Ads.
6. Wana Plugins ambazo ni highly and very Proffesional programmed ambazo zitakusaidia wewe kufanya kila unachotaka. Mfano Yoast SEO ambayo huyu ndio mchawi wa Traffic.

MY TAKE🙄🙄

Kama unataka kufanikiwa katika ulimwengu wa Blogging basi epuka kutumia Free things. Ingia Mfukoni mwako then simamisha kitu cha maana(Blog kwa hapa Bongo zinalipa endapo tuuu kama utajua ni nini chakufanya)
Kwani itakuuma nini ama itakugharimu nini kama utaamua kutumia laki tatu hadi laki nne Kutengeneza Profesional Blog ambayo baadae itakuingizia Pesa mara tatu zadi ya ulizotumia kuifungua Hiyo Blog?? (Pesa hutafutwa na Pesa).

HITIMISHO.
Nimeongea kijuu juu Sana ila nimelenga kile nilichotaka kukupa kabla hujaamua kufanya unachotaka kukifanya. Na ifahamike kwamba kila nilichoongea hapo juu ni Uzoefu wangu na Ufahamu juu ya Blogging( Nipo katika Ulimwengu huu wa Blogging kwa Muda wa miaka Minne Sasa, najua Mbivu na Mbichi) ila tambua kwamba hili sii jambo Rahisi.

Kama unaona nmeongea Kitu cha maana Basi kifanyie Kazi, na Kama unaona Nmeongea Pumba basi chukua upelekee Bata wako Nyumbani.

Mimi nmetengeneza mtokambali.com
Xoxo mtokambali.
 
ok but kama unataka kufanya blogging na hauna idea ya nini haswa unataka kukifanya katika blogging hilo ni tatizo kubwa.. blog nyingi sana zimeanzishwa na kufa kwa kutokua na malengo.. Ili upate mafanikio kwenye blogging ni bora kufanya kitu ambacho unakijua(fani yako) i.e engineering, doctor, politics hapo utafanikiwa kama unataka kufanya clear/clean blogging faida utaipata baada ya miaka kadhaa blog lako ikianza kuwa index na google na search engine nyingine.. kama unataka kufanya dirty blogging kama za vijana wa facebook hiyo inabidi uwe na roho ngumu na faida unaweza kuipata mapema kwa kua utakua unapata traffic from social network(kwa kuweka mapicha machafu na ngono mtandaoni.. kama mtu unajiheshimu na una watoto, familia, na msoni ni aibu na upuuzi)... ***USHAURI***Fanya blogging kama hobi kwa kuandika vitu vyako vizuri unavyovifahamu kwa kina na havipo google baada ya miaka kadhaa (miaka mitatu) utapata faida za matangazo na utakua unapata faida kubwa na kutumia nguvu ndogo kwa kua visitor watakua wanaingia automatically(organic traffic) kwenye blog yako bila ku-share sana..Kifupi tafuta mdau atakaye kuelekeza jinsi ya kuandiaka contents nzuri/quality ambazo zitakua rahisi kuwa index, template nzuri etc .. Huu ni ushauri tuu
Thanks sana kwa ushauri, Mkuu lengo la kutaka kuwa na blog ni kwa ajili ya kutangaza biashara yangu that's it! sihitaji blog kwa ajili ya kupata fedha kutokana na matangazo
 
ok kama lengo ni biashara zako mwenyewe no problem ni rahisi kama kumeza maji.. NAKUSHAURI..Ili kuweka heshima/ubora ya blog yako tengeneza blog yenye domain(.com, .us, co.tz) hii ni nzuri kuliko ya .blogspot.com hizi za .com, us itakugharimu sh 25,000 kulipia domain kila mwaka au pungufu i.e (10,000-20,000) na hizi .blogspot.com ni bure... mtengenezaji wa blog mnaweza kukubaliana anaweza kukutoza (5,000-20,000).. wewe utajifunza jinsi ya ku-post biashara/habari mpya ambapo ni kazi ndogo tuu hata mtoto wa primary anaweza akielekezwa within one minute.
 
mbna ujashauri jinsi ya kutngeneza ndgu
mkuu nimetaka kumpa mwanga kwanza kwa kuwa ni mgeni..Siunajua kuna vijana wajanja wajanja wasije wakamuingiza uchochoroni.. Nadhani nimezoea sana kutengeneza hivi vi-blog nikajua kwake inaweza kuwa rahisi kwa kua hata mwanangu wa standard 5 anatengeneza blog(nzuri za kisasa ) withing five minutes. Ok chamsingi ni kuwa na 1.Gmail account 2. baada ya hapo open blogger.com 3. hapo assign jina la blog na url yake ie kuendana na biashara/lengo la blog yako 4. Then create blog. Hapo kazi imeisha blog imekamilika ni ndani ya dakika 2 tuu.... Kinachofuata ni kuboresha tuu i.e kutafuta template kali za kisasa(seo template/responsive template) i.e template zipo nyingi na za kisasa free mtandaoni utachofanya wewe ni kuedit na kuziboresha i.e kubadili color, background, ku-ondoa footer credits na kuweka zako, kuweka vitu kama label, kutengeneza logo yake, ku-iweka sawa kwenye mambo ya search engine optimization(seo), kuweka settings za domain ambayo pia ni rahisi kama akipenda kuweka/kununua(.com.us,.info) na maboresho mengine madogo madogo ili kumvutia msomaji e.t.c That why nikasema ni jambo jepesi.. NI HAYO TUU MDOGO WANGU.
 
Back
Top Bottom