Nisaidieni namna ya kununua android apps kutoka google play store

Nisaidieni namna ya kununua android apps kutoka google play store

WILSON LWESHA

Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
12
Reaction score
10
Samahani wakuu kwa kuwasumbua ila nina shida kidogo naombeni msaada wenu au mawazo yenu kwa mtu yeyote ambaye ana ujuzi juu ya jinsi ya kununua application za android kutoka kwenye google play store anipe maelekezo jinsi ya kununua apps kutoka play store maana kuna apps nataka kuinunua but sijui namna ya kuilipia ili niweze kuidownload.

So naombeni mnisadie juu ya hilo pia ningependa kujua je nikiilipia kupitia account yangu ya bank moja kwa moja kuna usalama wowote wa pesa zangu au wanaweza kufyeka pesa zote na kuacha acount tupu.

Ahsannteni
 
  • Thanks
Reactions: MJG
Back
Top Bottom