Wataalam wa kuflash simu kwa kutumia computer hua wanafanyaje?

Wataalam wa kuflash simu kwa kutumia computer hua wanafanyaje?

cha tabora

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
424
Reaction score
208
Amani iwe pamoja nanyi,

Ningependa kufahamu wale wataalam wa kuflash cm kwa kutumia computer hua wanafanyaje ama wanatumia software gani kufanikisha shughuli ile?

Tafadhali kwa anaefahamu tuelimishane .

Nawakilisha.
 
Back
Top Bottom