Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 729
Wadau nimenunua simu tajwa hapo Juu lkn kupiga video call nimeshindwa
Naomba maelekezo kwa anayefahamu.
Naomba maelekezo kwa anayefahamu.
Sorry wakuu nilimaanisha kupiga video call hilo neno "Kibuga "ni typing error nimeshindwa kuedit heading
Wadau nimenunua simu tajwa hapo Juu lkn kupiga video call nimeshindwa
Naomba maelekezo kwa anayefahamu.
Mdoli utaweza kupiga video kweli?Wadau nimenunua simu tajwa hapo Juu lkn kupiga video call nimeshindwa
Naomba maelekezo kwa anayefahamu.
Nashukuru Kwa ushauri ila nimegundua hizi hazina option ya video call mpaka kudownload third-party App's kama Skype na wengineoView attachment 442106
Hapo kwenye hiyo alama ndipo inapopatikana video call kwa simu za tecno, ila huyo unaempigia ni lazima awe amewasha data ndio simu itaenda, kama hajawasha itagoma.
Ukimya nao ni jibu heri kukaa kimya kuliko kuanika upumbavu [emoji124]Mdoli utaweza kupiga video kweli?
Watu wa type yako mlitakiwa mkutane na mzee wa upako[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Alaaniwe alounda tecno
Tumia google duo au imo!!Watu wa type yako mlitakiwa mkutane na mzee wa upako[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]