alex obwato
Member
- Jun 18, 2016
- 9
- 1
Jamani kama nilivyoeleza hapo juu, simu yangu ilidondoka chini baada ya kuiwasha ikawaka lakini haifanyi kazi; ila nikipigiwa inaita tatizo kupokea na laini inasoma vizuri, nifanyeje na simu yangu ni smartphone?