FAHAMU:Jinsi ya kujiunga vifurushi vyetu vya @VODACOM kwa haraka.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
Zifuatazo ni code za kujiunga na vifurushi vyetu vya VODACOM kwa haraka.
Hii ni njia ndefu.Mpaka kukupata kwa Cheka bundles.
*149*01#.
•Ili ujiunge na kifurushi cha Cheka cha shilingi miatano Tshs500/=
kwa haraka piga *149*01*500#.
Utakuwa tayari umejiunga na Cheka bundles.
•kujiunga kwa kumrushia ndugu,rafiki,jamaa na hata jirani ama mwenzako.Usihofu njia ya haraka piga *149*60*500*Namba ya Sim Card#.
Hapo tayari utakuwa umemnunulia kifurushi cha Cheka kwa haraka sana.
Ahsanteni kwa kutumia VODACOM.
Msaada zaidi tupigie namba 100 Huduma kwa Wateja.
vodacom power to you.!!
 
Nimesha jiunga muda ili muweze kumlipa Simba vizuri!
Nimeipa hiyo!
 
Hivi voda hawana vifurushi vya dk na sms vya week kama ilivyo tigo,airtel na halotel?,kama vipo unajiunga vipi?
 
Voda kwa kweli mnazingua gharama kubwaaa za vifurushi ngoja niwanawe tu maana hamna jinsi
 
Nimejiunga kifurushi cha Internet cha ya kwako tu toka saa saba usiku mpaka asubuhi msg ya majibu haijaja na pesa yangu imekatwa mbona kama maigizo haya....
 
Back
Top Bottom