Msaada: Bei ya Ip Camera!

Jindal Singh

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
1,857
1,538
Salaam jf.

Kama header inavyojinadi. Nilitaka kujua bei ya Wireless Camera a.k.a ip cam kwa hapa tz ikiwemo na installation au bila install. Je! Naweza tumia smartphone kama ip camera.?
 
uploadfromtaptalk1466945909963.JPG

ambazo nazifahamu ni hizi smart IP camera brand ya v380 ambayo kwa moja bei ni 205,000/-

inaweza kufanya kazi yenyewe kwa kutumia sd card yake au unaweza kutumia na computer kama dvr na pia unaweza kutumia kwenye smartphone ya android.

unaweza pia kuiunganisha kwenye router ( camera zaidi ya moja) na kuzimonitor kwa kutumia computer au mobile
 
View attachment 360364

Duh! kumbe bei yake ni rahisi hivyo, mi nilidhan ni big deal, oke! wapi naweza zipata? je zinatumia battery au?
 
inatumia chaja ya 5V 1A. basically ni chaja kama ya smartphone hata kwa USB port ya computer inafanya kazi.

una uwezo wa kuizungusha remotelly kwa kutumia simu yako au computer na inazunguka 360 degrees pia inarekodi sauti na ina option ya normal video na HD video. wachina ni noma.

kama upo Arusha unaweza kuzipata kirahisi kuna jamaa anazo brand.new
 
Nipo mtwara lakini kwa dar naweza kusafiri.
 
Hivi ip camera ina generate vipi Ip au mpaka nitafute router ndio niweze kuimonitor through internet?
 
IP camera ni WI-FI/LAN(Network) camera kwa ufupi. By Default inakuwa default IP address ambayo imeandikwa katika sticker au katika maelezo ya camera husika.

kuna IP camera ambazo hazihitaji DVR, bali zinahitaji computer au Smartphone kufanya kazi ( Ni lazima uwe na App yake ili kuitumia kwenye computer au smartphone, Maelezo ya namna ya kuipata APP hiyo yapo kwenye maelezo yake)

camera hizi zisizohitaji DVR Pia zina uweza wa kuunganishwa na Router na endapo utaziunganisha na Router, zinapokea IP address kutoka kwenye router (DHCP) automatically, hivyo unaweza kuunganisha camera zaidi ya moja kwenye router moja na camera zote ukaziona kwenye computer au smartphone Application . N akila camera itatambulika kwa ID yake ambayo ni MAC ADDRESS.

nadhani nimekujibu.
 
umenijibu vyema mkuu asante
 
Back
Top Bottom