Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,619
- 5,248
Ndugu wana jukwaa wenzamgu habarini .
Nimejitokeza kwenu kuomba msaada kuhusiana na hyu mtoto wa bill gates cortanakama anavyojiita mwenyewe nimejaribu kusett afanye kazi kama ilivyokua awali kwa simu yangu sasa nashindwa maana nafata hatua zote baada ya ku google kuona ni namna gani nimfanya awe active lakini nakuja kwama hapa mwishoni kama picha hii inavyojieleza sasa nisaidieni plz[emoji116][emoji116]