Utofauti wa series za Smartphone za Samsung

Harnandez

Harnandez

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Messages
410
Likes
321
Points
80
Harnandez

Harnandez

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2015
410 321 80
Kwanza wadau naomba mnijuze tofauti ya ya hizi Samsung za S series, A series pamoja na J series unakuta labda kuna J5, S5, na A5 nini tofauti yao kubwa na Kati ya IPhone 5 na Samsung 5 ipi no bora na inazidi nyingine. Nawasilisha
 
Ilisolokobwe

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
1,747
Likes
362
Points
180
Ilisolokobwe

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2013
1,747 362 180
Mkuu hayo ni matoleo yao ili kujua ipi bora kuliko ingine unaweza kugoogle au ingia gsmarena kisha tafuta compare hapo waweza kufanya ulinganifu na ukagundua simu ipi ni bora kuliko nyingine
 
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
857
Likes
477
Points
80
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
857 477 80
Kwanza wadau naomba mnijuze tofauti ya ya hizi Samsung za S series, A series pamoja na J series unakuta labda kuna J5, S5, na A5 nini tofauti yao kubwa na Kati ya IPhone 5 na Samsung 5 ipi no bora na inazidi nyingine. Nawasilisha
Samsung S na Note Series ni High end au Flagship

Samsung A series ni Mid range

Samsung J series ni Low/Affordable..

Hii ni kwenye maswala ya marketing segmentation, S series kwa wenye kipato cha juu, A kipato cha kati, J kipato cha chini.

Na kwenye S5 vs Iphone 5 yote ina depend na wewe but Samsung s5 ni latest zaidi ya hiyo iPhone , better screen, but kwa sasa maana iPhone 5 ina ios 10 bora kuchukua iPhone 5 maana ina better support bado
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,289
Likes
9,060
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,289 9,060 280

s5 ina marshmallow na itapata nougat
 
K

Kibukila

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
628
Likes
110
Points
60
K

Kibukila

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
628 110 60
Kuna J5 prime imetoka hivi karibuni sina uhakika kama ni low range kwani specs zake ni nzuri sana bei 590,000/=
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,289
Likes
9,060
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,289 9,060 280
Kuna J5 prime imetoka hivi karibuni sina uhakika kama ni low range kwani specs zake ni nzuri sana bei 590,000/=
j5 prime si nzuri, kwa hio bei unapata j7 prime na change inabaki
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,289
Likes
9,060
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,289 9,060 280
Note 4 na S5 2 year Software support imeisha. Nougat itapatikana for S6, S7, na Note 5.
zipo leaks nimeziona still inaweza pata, na hata isipopata bado 3rd party support zipo hapa nimeshaletewa notification ya cm 14.1 kwenye s5, official update ya cyanogen ya android 7.1
 
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
857
Likes
477
Points
80
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
857 477 80
zipo leaks nimeziona still inaweza pata, na hata isipopata bado 3rd party support zipo hapa nimeshaletewa notification ya cm 14.1 kwenye s5, official update ya cyanogen ya android 7.1
Highly unlikely, but Cm 14.1 nzuri very stable kwa testing yangu ya hizi siku chache but kum expect mtu wa kawaida ku flash custom rom ni kazi nzito na haiwezi kuifikia hata robo Official Grace ui ya Nougat.
 
K

Kibukila

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
628
Likes
110
Points
60
K

Kibukila

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
628 110 60
j5 prime si nzuri, kwa hio bei unapata j7 prime na change inabaki
Mbona iko karibu sawa na J7 prime tofauti ni ukubwa wa screen, battery na RAM tu ubaya wake ni nini?
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,289
Likes
9,060
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,289 9,060 280
Highly unlikely, but Cm 14.1 nzuri very stable kwa testing yangu ya hizi siku chache but kum expect mtu wa kawaida ku flash custom rom ni kazi nzito na haiwezi kuifikia hata robo Official Grace ui ya Nougat.
sure kwenye ugumu wa kuinstall, lakini ui wakishaiport theme engine ya cm12/13 faster tu watu wataitengenezea themes yake. mimi japo nina cm ila natumia themes ya touchwiz mtu wa kawaida akiangalia hata hajui kama natumia custom rom.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,289
Likes
9,060
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,289 9,060 280
Mbona iko karibu sawa na J7 prime tofauti ni ukubwa wa screen, battery na RAM tu ubaya wake ni nini?
1. display ya j7 prime ni 1080p wakati ya j5 prime ni 720p
2. cpu ya j7 prime ina core 8 compare na quadcore ya j5 prime, plus vitu kama gpu na vikorokoro vyengine vya soc
3. battery ya j7 ni kubwa sana 3300mah vs 2400mah
4. ram 3gb compare na 2gb ya j5 prime

mfano chukulia j5 ya 2016 au hata ya 2015 ambayo sasa hivi unaipata around 350,000 ina specs almost sawa na hio prime huku battery likiwa kubwa.
 
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
857
Likes
477
Points
80
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
857 477 80
Hata kwa hio simu official support imeisha 2 years tayari. Nougat 7.0 au 7.1.1 ni kwa Nexus 6, 6p, na 5x basi.

Utabidi tu kuweka cyanogenmod 14.1 kama ukitaka latest features.
 
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
857
Likes
477
Points
80
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
857 477 80
sure kwenye ugumu wa kuinstall, lakini ui wakishaiport theme engine ya cm12/13 faster tu watu wataitengenezea themes yake. mimi japo nina cm ila natumia themes ya touchwiz mtu wa kawaida akiangalia hata hajui kama natumia custom rom.
Bora kuweka Rom port za s7 au Note 7 kwenye S5 nadhani maana kuna vitu vingi unakosa amabavyo stock Android bado haina maana kiukweli nikiwa natumia Cm naona kuna vitu vingi sana Navi miss
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,289
Likes
9,060
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,289 9,060 280
Bora kuweka Rom port za s7 au Note 7 kwenye S5 nadhani maana kuna vitu vingi unakosa amabavyo stock Android bado haina maana kiukweli nikiwa natumia Cm naona kuna vitu vingi sana Navi miss
yap touchwizz ina feature nyingi, ila ninazozihitaji sasa hivi zipo aosp, multi windows, doze, themes nyeusi kwa ajili ya amoled etc
 
B

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
3,758
Likes
1,983
Points
280
Age
56
B

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
3,758 1,983 280
Samsung S na Note Series ni High end au Flagship

Samsung A series ni Mid range

Samsung J series ni Low/Affordable..

Hii ni kwenye maswala ya marketing segmentation, S series kwa wenye kipato cha juu, A kipato cha kati, J kipato cha chini.

Na kwenye S5 vs Iphone 5 yote ina depend na wewe but Samsung s5 ni latest zaidi ya hiyo iPhone , better screen, but kwa sasa maana iPhone 5 ina ios 10 bora kuchukua iPhone 5 maana ina better support bado
Napenda hiyo description mimi niiweke hivi S- for senior people A- for average income people J-for juniors
 
Come27

Come27

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Messages
4,292
Likes
2,925
Points
280
Come27

Come27

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2012
4,292 2,925 280
Mkuu hayo ni matoleo yao ili kujua ipi bora kuliko ingine unaweza kugoogle au ingia gsmarena kisha tafuta compare hapo waweza kufanya ulinganifu na ukagundua simu ipi ni bora kuliko nyingine
Ivi ile www.bestmobb.com
Wanadili na simu zinazouzwa apa Africa peke yake au?
 
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
857
Likes
477
Points
80
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
857 477 80
yap touchwizz ina feature nyingi, ila ninazozihitaji sasa hivi zipo aosp, multi windows, doze, themes nyeusi kwa ajili ya amoled etc
Mbona zote hizi zipo multi window tokea enzi za note 2 sema sio kila app itakubali but the best zinakubali, doze ipo tokea Lolipop kwenye kila simu na theme nyeusi pia kwenye theme store zipo nyingi sana as well ukiweka Goodlock ui unapata hadi status bar kama ya stock Android.

Sema tu ujinga wa touchwiz ni slowness na stutters kila kukicha.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,289
Likes
9,060
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,289 9,060 280
Mbona zote hizi zipo multi window tokea enzi za note 2 sema sio kila app itakubali but the best zinakubali, doze ipo tokea Lolipop kwenye kila simu na theme nyeusi pia kwenye theme store zipo nyingi sana as well ukiweka Goodlock ui unapata hadi status bar kama ya stock Android.

Sema tu ujinga wa touchwiz ni slowness na stutters kila kukicha.
nimemaanisha vitu nilivyokuwa nikitumia zamani touchwiz now vipo aosp, najua vyote vipo touchwiz toka zamani

na touchwiz mpya haipo slow jaribu simu za samasung kuanzia 2015,
 
Forum statistics

Threads 1,235,916
Members 474,863
Posts 29,240,433