Simu yangu ya windows nashinda ku-scroll baadhi ya website

Gushleviv

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
3,437
5,146
CHIEF MKWAWA na wengineo naomba mnisaidie katika hili, natumia Microsoft Lumia 430 Dual Phone.
Simu yangu baadhi ya website nikifungua nashindwa ku-scroll down and up. Sielewi tatizo ni nini. Naomba msaada tafadhalini sana.

Asanteni.
 
Hiyo meridianbet huw muda mwngne inakuw hvyo muda mwngne inakaa saw asa cjajuag kwnn
 
Hii website huwa nzito sana sio kwako tu ukijumulisha na udogo wa ram ya simu ndo majanga!!

Sent from mTalk
 
Hizo windows phone ni shida tupu mi inajizima na kuwaka kila baada ya muda inakera sana
 
Hilo tatzo lipo hats mimi nina Lumia 620 ilikuwa inazngua sana hasa nikifungua Millard ayo ni kawaida tu
 
Kutokana na experience niliyonayo baada ya kuitumia windows phone ni kwamba windows phone wana browrser yao ambayo ni explore sasa issue iñakuja kwenye baadhi ya program ambazo zimetengenezwa na zinasuport mpaka uwe na mozila fire foxy, nauhakika mtoa mada windows phone yako haisuport hii kitu jaribu kudownload utanuambia, ataukidownload inakubali but unafanya kazi kama explore,
 
firefox inapata shida kama internet explorer, sasa hivi dunia ina code kwa ajili ya webkit na sio web. standard kibao za web hazifuatwi watu wanafuata za webkit sababu safari (ios) na browser za android ni webkit.

ndio maana kwenye windows 10 browser mpya ya microsoft yaani edge ina uwezo wa kurender kitu cha engine yoyote ile iwe trident, webkit, blink nk
 
CHIEF MKWAWA na wengineo naomba mnisaidie katika hili, natumia Microsoft Lumia 430 Dual Phone.
Simu yangu baadhi ya website nikifungua nashindwa ku-scroll down and up. Sielewi tatizo ni nini. Naomba msaada tafadhalini sana.

Asanteni.

Tumia microsoft edge ya w10 uone utamu.

Hajjmakwato
 
CHIEF MKWAWA na wengineo naomba mnisaidie katika hili, natumia Microsoft Lumia 430 Dual Phone.
Simu yangu baadhi ya website nikifungua nashindwa ku-scroll down and up. Sielewi tatizo ni nini. Naomba msaada tafadhalini sana.

Asanteni.

Mi natumia WP 10 640 xl iko powa sana haina shida kwa microsoft edge.
SPubGNv.jpg

Hajjmakwato
 
Back
Top Bottom