Ushauri

Ushauri

mchushi

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
216
Reaction score
98
Habari zenu wanatech wa humu ndani nina budget ya around 300-350k nahitaji kununua smartphone na nina option hizi tatu,galaxy s4,htc m7,na Lg g2, naomba kwa kutumia uzoefu nifahamishwe device gani inastahili hicho kiasi cha fedha kwa nyakati hizi za anko Magu au kama kuna device nyingine isiyotumia mediatek naweza pata kwa budget hiyo na sababu zake,natanguliza shukrani.
 
Chukua Panasonic savvy ni bonge moja la simu!!
 
Nunua vifaranga 50 vya kuku wa mayai@2500/= nnua mabanzi na mahitaji mengine ya banda, nnua chakula cha kuku fuga baada ya miez sita njoo unishukuru hio hela yako ni milioni sichini ya mbili ukiiwekeza
 
Asante chief,na vipi kuhusu simu?
 
Back
Top Bottom