Week Cellphone Signals Booster

Week Cellphone Signals Booster

KVM

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
1,852
Reaction score
934
Friends, I am experiencing weak cellphone signals in my village house. As I intend to spend a long time living there next year I cannot tolerate the situation. I know that there are companies which sell weak cellphone signal boosters. However these gadgets may have to follow TZ specifications such as the frequencies to tune to, etc.

Can anyone shed some more light on this ?
 
Iki kizungu ulichoandika ndio kikwazo, ila zipo kibao na sidhani kama network boosters zinahtaji frequencies

Lakin pia unawezajitengenezea (home made) booster
 
Nilikuwa nipo mikakati ya kununua lakini kwenye specifications wameelezea maswala kadhaa mojawapo ni hilo la frequency
 
Nisingependa kutengeneza mwenyewe kwani sina utaalamu wala muda wa kujifunza. Nataka kununua. Zipo nyingi sokoni
 
Friends, I am experiencing weak cellphone signals in my village house. As I intend to spend a long time living there next year I cannot tolerate the situation. I know that there are companies which sell weak cellphone signal boosters. However these gadgets may have to follow TZ specifications such as the frequencies to tune to, etc.

Can anyone shed some more light on this ?

Nilikuwa nipo mikakati ya kununua lakini kwenye specifications wameelezea maswala kadhaa mojawapo ni hilo la frequency

Nisingependa kutengeneza mwenyewe kwani sina utaalamu wala muda wa kujifunza. Nataka kununua. Zipo nyingi sokoni

Kumbe kulikuwa na uwezekano wa kuandika post yako kwa kiswahili na ukaeleweka tu vizuri!!!
 
umejaribu isp mwengine tofauti na huyo unaetumia? jaribu Halotel na smart wana coverage kubwa. Tanzania vijijini hakuna 4g, 3g mitandao yote inatumia 2100mhz na smart ni 850/900. kifaa chochote chenye quad band za 3g kitakamata mitandao yote ya simu Tanzania
 
Chief Mkwawa nina zantel 4g tigo 4g na halotel hapo kwangu mwendo ni Edge H kunusanusa tena afadhali Zantel ila nikiwa bafuni na jikon room moja ya watoto i afadhali kidogo au nitoke nje tena usawa wa nyumba ya jirani nadhanai seting yanyumba yangu vikona kona ving labda kwa kweli nahitaji booster
 
nunua rooter halafu itege eneo ambalo kuna network nzuri then rooter ita supply nyumba nzima hio network nzuri.

upo mjini? jaribu na vodacom kwa sasa wapo vizuri sana hawa jamaa. na hakuna Tofauti kati ya zantel na Tigo wanatumia mnara mmoja hao.
 
Kumbe kulikuwa na uwezekano wa kuandika post yako kwa kiswahili na ukaeleweka tu vizuri!!!

Nina uhuru wa kuandika lugha ninayotaka. Pole zako kama hukunielewa
 
nunua rooter halafu itege eneo ambalo kuna network nzuri then rooter ita supply nyumba nzima hio network nzuri.

upo mjini? jaribu na vodacom kwa sasa wapo vizuri sana hawa jamaa. na hakuna Tofauti kati ya zantel na Tigo wanatumia mnara mmoja hao.

Nitawajaribu hao jamaa. Nataka kuitumia vijijini sehemu yenye milima sana.
 
Back
Top Bottom