Msaada wadau

yilima jerad

Member
Jan 16, 2016
59
25
Mimi natumia simu, tecno y 4 ambayo ni laini, mbili, kwa laini zote . Changamoto ambayo inanisumbua Leo nimenunua laini ya univesties student, wamenisajilia vizuri tu na inapiga kazi upande laini one vizuri ukiwasha data.

Lakini mimi nataka niweke iwe laini two maana baada ya hapo ilinilazimu nikate na wameikata vizuri kila nikiweka nikiwasha data inaonyesha connected hits tz 01.

Wataalamu nisaidieni nifanyeje. Na Halotel wenyewe Huduma kwa Wateja direct kuongea nao unapiga namba zip?

Msaada samahani kwa maelezo marefu
 
nenda settings> mobile networks>Access point
a76ad310ad668b60ad133a745f91a983.jpg

7a6b92bda04174afa18f9dd90c3227a2.jpg

5327aed7273773e5bf99625cec8200c8.jpg

chagua new
sehemu ya name weka halotel
sehemu ya APN weka "internet" (bila " " )
then save
b7f46c2a1166b01ec4700ee0f5e8763a.jpg
9297c517efb5eeb86d744fb51af5f10a.jpg

2c43aab256908e3b770174b785af136c.jpg
 
Njia nyepesi nenda kwenye ukumbi wa masage andika neno (configuration) tuma kwenda namba 15503 subiri ujumbe wa configuration kwenye simu yako then save enjoy
 
Njia nyepesi nenda kwenye ukumbi wa masage andika neno (configuration) tuma kwenda namba 15503 subiri ujumbe wa configuration kwenye simu yako then save enjoy
Asante nimefanya hivyo wamenitumia ,nimeconfiguration VP natakiwa nibonyeze custom au full install?
 
Yeah Mi mwenyewe nahisi hivyo eneo nilipo labda.
Hilo tatizo hata kwang lipo na sio kutokana na eneo sababu kuna mtu anatumia halotel nakaa nae ila yake inafanya kaz mi nadhan hiz late n za chuo ndio zi nasoma hits tz na haziconnect na data maana mie nimeweka apn za kila aina na zote hazifany kaz na wala hiyo hitstz sidhan kama ni halotel maana halotel di ni viettel ila hiyo hits ni kampuni nyengnr kabisa lakin cha ajab vocha za halotel zinaingia sim unapiga ila tu data haifany kaz kind ng hiyo lain tupa tu hata uende ikulu bado tatizo hilo utakutana nalo kwahyo sio sehem uliopo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom