Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nimeibiwa simu yenye vitu vya maana.. Ivi amna namna naeza kuipata
1 Reactions
9 Replies
807 Views
Msaada jaman kwa anayejua hyo kitu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu wa humu naomba kuuliza Kwamba juzi nilidownload application inaitwa booster katika pc yangukatika kuifungua ikaonesha kuwa AMD processor is out to date need for update je kuna uwezekano...
0 Reactions
3 Replies
734 Views
Wadau natafuta app gani ya android ambayo nikipiga picha kwa simu inasave automatically na hata ikitokea nimefuta picha zote basi inaweza kunifanya nikazipata tena
0 Reactions
3 Replies
3K Views
SAMSUNG GALAXY S6 EDGE SM G925F haisomi line inaandika emergency only baseband haisomi, imei haipo/null kama kuna mtaalaam anaweza anisaidie nipo arusha mjini maeneo ya stand kubwa
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamii ninaomba kufahamu kuhusu hii app inasaidia nini ktk simu kwasababu ninaona inakula space kwa mb70 ukiupdate ninatumia tecno w4,app yenyewe ni android system webview
1 Reactions
8 Replies
2K Views
salaam wakuu. nahitaji msaada nini nifanye ili pc yangu iweze kutunza moto. modeli ya pc husika ni lenovo thinkpad L412 Leo ni siku ya nne najaribu kuichaji inagoma. iniandikia ujumbe huu, "pluged...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
habari za mchana wana jf naombeni mnisaidie tofauti kati ya Bits, Kilobytes, Megabytes, Gigabytes, Terabytes, Petabytes na Exabytes.
1 Reactions
2 Replies
753 Views
Nilikuwa nahitaji kuweka application kwa playstore ila kuweka Inahitajika $25. Ila tatizo payment method lazima utumie PayPal nami PayPal account sina. Kama kuna ajuaye kutumia payment method...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Nipo dar natafuta komputa aina ya laptop ya bei nafuu naweza kupata wapi?? Na kwa bei gani.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
wakuu habari zenu Ni jinsi gani naweza trace/track namba ya mtu na kutambua sehem mtu/mmiliki wa namba husika alipo/alipo kuwepo (kama atakua hayupo hewani) , either kwa kutumia app au njia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana niliingiza flash yangu kwenye PC, ikaniletea ujumbe wakuitaka niifotmat badala ya kufunguka, na mimi sikutaka kufanya hivyo kwani kwenye flash kuna docs na files za muhimu za ofisini. Hivyo...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Wakuu naomba ushauri nina 570000 nataka kununua laptop kwa matumiz ya kawaida yaan kuangalia movie, series, gaming, ku download na shughuli ndogondogo kama kuchapa baadhi ya doc. kuhifadhi data...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba mnielekeze jinsi ya kupost picha katika mtandao huu natumia cm Tecno H5
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeviangalia havina tofauti yoyote na tigo ndo vile vile tu zikitofautiana ni mb chache na wameiga kale ka katabia ka tigo kusema kifurushi ni unlimited kumbe wanamaanisha unlimited speed. Kwa...
17 Reactions
249 Replies
56K Views
Kila jambo huwa na madhara kwa mara ya kwanza na nadhani hata aliyegundua umeme alipata sekeseke la kupgwa shot au pengine aliuawa kwa umeme. Habar zenu wana JF, nimeifanyia rooting Vodafone...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wajuzi wa mambo salaam. Mimi ni mpigapicha mkongwe (nilikuwa nikitumia Camera kubwa aina ya Pentax - ya mikanda) ila ni mgeni katika kutumia DSLR. Nimenunua Nikon D5100 na naomba kujua setting...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, nimepata changamoto kwenye laptop yangu,naamini kupitia uzi huu nitapata msaada..Tatizo liko namna hii wakati nauninstal kaspersky ikanileta maneno yakimaanisha ili niweze...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina j5 ina siku mbili ni ya 2015 3g ina glass protector na kava la kuvutia vyote vipyaaaa nataka nibadilishane na mwenye j7 ya 4g ya 2015 mpyaaa.... njoo PM tuyajengeeeee naitamani sana hio...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, ninaomba mniazime utaalamu wa namna ya ku apply emoj (zile za whatsapp)kwenye posts za hapa jf, 'cause mimi niki apply from my phone's...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…