Msaada: Flash inanilazimisha nii-format kabla ya kuifungua

Eliazery

Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
19
Reaction score
9
Jana niliingiza flash yangu kwenye PC, ikaniletea ujumbe wakuitaka niifotmat badala ya kufunguka, na mimi sikutaka kufanya hivyo kwani kwenye flash kuna docs na files za muhimu za ofisini. Hivyo naomba ushauri namna ya kuifungua hiyo flash bila kupoteza vitu vilivyomo.

Ahsante.
 
pole sana bta jaribu tena mara kwa mara.ukiona bado inazingua itakua imekufa
 
Jana niliingiza flash yangu kwenye PC, ikaniletea ujumbe wakuitaka niifotmat badala ya kufunguka, na mimi sikutaka kufanya hivyo kwani kwenye flash kuna docs na files za muhimu za ofisini. Hivyo naomba ushauri namna ya kuifungua hiyo flash bila kupoteza vitu vilivyomo.

Ahsante.
maybe ilipewa command ya kuformat alafu formatting process ilifeli so inataka kucompensate command hiyo..
 
Back
Top Bottom