Root at your own risk

Root at your own risk

Ngai Moko

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
1,403
Reaction score
1,875
Kila jambo huwa na madhara kwa mara ya kwanza na nadhani hata aliyegundua umeme alipata sekeseke la kupgwa shot au pengine aliuawa kwa umeme.

Habar zenu wana JF, nimeifanyia rooting Vodafone VF685 kwa kufuata proccess zote ila baada ya finishing kuna haya yamejtokeza

1. Home key haifanyi kaz hata nkitumia ya kudownload haifany kazi

2. Lock zote ya pattern na slide haionekan na hata nkitumia ya kudownload haifanyi kazi

3. Google playstore haitingi.

4. Shortcut ya kuscrow down il upate menu nayo haionekani.

Kwa kifupi root at your own risk, mpaka sasa sijapata suluhisho la haya matatizo je is there any alternative!!!!!!
 
Ni kweli your own risk nili root tenco y6 vzuri na app ya kingroot baadae nikatumia app ya kuchange boot animation cm ikiwa inawaka kwa mara ya kwanza cm ilikua inawaka tu na kuonyesha logo ya tecno basi ilikua haifanyi kitu kingine zaidi ya hiko
 
Mi niliroot nikajifanya mtaalamu wa kufuta apk zilizokuja na simu nilikoma maana simu ilikua inafunguka dk nzima halafu ilikua kila mara unapata msg unfortunately not responding
 
Hilo tatzo la kuonesha logo tu unaweza ipasua simu asee maana inatia hasira
 
jaribu kuunroot pia kama ulivyosema hata playstore pia nishida jaribu kurestore huenda ikasaidia kuunroot kwa baadhi ya root app ikikataa the only hope is flash back to stock rom
 
Mi niliroot nikajifanya mtaalamu wa kufuta apk zilizokuja na simu nilikoma maana simu ilikua inafunguka dk nzima halafu ilikua kila mara unapata msg unfortunately not responding
Mimi niliwahi kukunbwa na tatizo kama hilo niliuninstall phone/messenger storage simu ikawainaleta ujumbe wa unfortunately alafu network inakata kisha inajirudia kila baada ya sekunde 15 sasa fikiria kama network itakuwa inakata baada ya sekunde 15 kuna simu hapo . ila ilikuja kupona
 
Kila jambo huwa na madhara kwa mara ya kwanza na nadhani hata aliyegundua umeme alipata sekeseke la kupgwa shot au pengine aliuawa kwa umeme.

Habar zenu wana JF, nimeifanyia rooting Vodafone VF685 kwa kufuata proccess zote ila baada ya finishing kuna haya yamejtokeza

1. Home key haifanyi kaz hata nkitumia ya kudownload haifany kazi

2. Lick zote ya pattern na slide haionekan na hata nkitumia ya kudownload haifanyi kazi

3. Google playstore haitingi.

4. Shortcut ya kuscrow down il upate menu nayo haionekani.

Kwa kifupi root at your own risk, mpaka sasa sijapata suluhisho la haya matatizo je is there any alternative!!!!!!
Fanya ku unroot, ukiona shida basi flash tu mazima uanze upya
 
SIM YANGU BAADA YA KUIFLASH IMEKUWA HIVO TUU
SIWEZI LOG IN KWA PLAYSTORE OR GMAIL
MSAADA TAFADHALI, VITU ZINGINE ZIPO OKAY
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2016-10-12 at 8.55.05 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2016-10-12 at 8.55.05 PM.jpeg
    33.1 KB · Views: 54
Ni kweli your own risk nili root tenco y6 vzuri na app ya kingroot baadae nikatumia app ya kuchange boot animation cm ikiwa inawaka kwa mara ya kwanza cm ilikua inawaka tu na kuonyesha logo ya tecno basi ilikua haifanyi kitu kingine zaidi ya hiko
Hata mimi yamenikuta hayo simu inaandika android upgrade hadi leo ipo kabatini mkuu simu yako iliponaje?
 
Mimi niliwahi kukunbwa na tatizo kama hilo niliuninstall phone/messenger storage simu ikawainaleta ujumbe wa unfortunately alafu network inakata kisha inajirudia kila baada ya sekunde 15 sasa fikiria kama network itakuwa inakata baada ya sekunde 15 kuna simu hapo . ila ilikuja kupona
Uliamka asb imepona, uliifanyia maomb au ilkuja kupona vip?
 
Kila jambo huwa na madhara kwa mara ya kwanza na nadhani hata aliyegundua umeme alipata sekeseke la kupgwa shot au pengine aliuawa kwa umeme.

Habar zenu wana JF, nimeifanyia rooting Vodafone VF685 kwa kufuata proccess zote ila baada ya finishing kuna haya yamejtokeza

1. Home key haifanyi kaz hata nkitumia ya kudownload haifany kazi

2. Lick zote ya pattern na slide haionekan na hata nkitumia ya kudownload haifanyi kazi

3. Google playstore haitingi.

4. Shortcut ya kuscrow down il upate menu nayo haionekani.

Kwa kifupi root at your own risk, mpaka sasa sijapata suluhisho la haya matatizo je is there any alternative!!!!!!
pole,,,,m kila cm nayonunua lzm niroot,,,,

Sent from mTalk
 
Duh! mm huwa nikiona hiyo caption " root at your own risk!" Sijiulizagi Mara 2 natoka nduki! Maana bado naipenda Samsung yangu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom