Nina shida kubwa wajameni

Nina shida kubwa wajameni

am a girl

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
748
Reaction score
506
Nina j5 ina siku mbili ni ya 2015 3g ina glass protector na kava la kuvutia vyote vipyaaaa nataka nibadilishane na mwenye j7 ya 4g ya 2015 mpyaaa....
njoo PM tuyajengeeeee naitamani sana hio j7[emoji30] [emoji30] [emoji30] .utapata na ofa ya kuniona mm japo mbaya.
 
Pole. Tamaa mbaya, uwe mvumilivu. Pesa hakuna jamani!!

Ukiendeleza tamaa utaingia katika shida.

Mmmmmh na ofa ya kukuona wewe???????????!!!!??
 
Nina j5 ina siku mbili ni ya 2015 3g ina glass protector na kava la kuvutia vyote vipyaaaa nataka nibadilishane na mwenye j7 ya 4g ya 2015 mpyaaa....
njoo PM tuyajengeeeee naitamani sana hio j7[emoji30] [emoji30] [emoji30] .utapata na ofa ya kuniona mm japo mbaya.
Mbona j5 nanozo zina 4g model yake ni ipi
 
ebu weka mambo sawa uelewe bhana hiyo ofa ya kukuona kivipi kukutambua kua wewe ndio girl ama kula mzigo?
 
Njoo nikupe bure theoretically but practically there is no free lunch
 
Njoo tandika....uchukue....
Ipo hapa sebuleni ina galagala tu.....
6b8a1a0e9d7f8320d9578c40117d0f30.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom