Msaada app ya kuwezesha kutumia smartphone kama modem

b2kkalwani

Member
Jul 6, 2014
14
2
Habar wana teknohama, naomba mwenye ujuzi au ufahamu kuhusu app ambayo naweza kuinstall kwenye simu nikatumia kama modem kwenye computer ukiachana na mambo ya tethering na hot-spot ya simu, asante.
 
Dah mkuu umelewa nini hapa watu wamejizuia kutoa mapovu tu maana ulichokiandika sijuh kama ulifkilia hakipooooo
 
Habar wana teknohama naomba mwenye ujuzi au ufaham kuhusu app ambayo naweza kuinstall kwenye simu nikatumia kama modem kwenye computer ukiachana na mambo ya tethering na hot-spot ya simu asante
Tuma usb hotspot ndiyo njia rahc
 
1. Utaweza kutumia simu kama modem kwa kutumia usb cable yako uwe na app inaitwa pda+ net kwenye simu na pc
2. Kwakutumia wi-fi/hot spot
3. Kwa kutumia App mfano Xender, ducto nk iwe kwenye pc na kwenye simu ambayo nazo pia hutegemea wi-fi.
 
Habar wana teknohama naomba mwenye ujuzi au ufaham kuhusu app ambayo naweza kuinstall kwenye simu nikatumia kama modem kwenye computer ukiachana na mambo ya tethering na hot-spot ya simu asante
Download kutoka playstore app inaitwa Pda net, utainstall kwenye simu.

Ukiifungua itakupeleka sehemu ya kudownload pda net kama software ambayo utainstall kwenye mashine yako.

Utaunganisha simu yako na laptop/ desktop kwa kutumia usb, uta-enable usb debugging kisha utaactivate pda net kwenye simu yako.

Ya kwenye kompyuta itareact, kama kila kitu kimeenda sawa utaoneshwa kua upo connected na hapo unaweza anza kuburudika.

Ila nina swali, kwanini usitumie tu hotspot kutoka kwenye simu yako? Au mashine yako ni desktop?
 
Mkuu Desktop pia zinakubali Wi-Fi, kama haikubali kwa maana kuwa haina Hardware hata akitumia app kazi bure, otherwise awe anatumia XP huwa ina tatizo mpaka uweke plugin. Umemuuliza swali zuri, labda akieleza sababu ya kutumia huu mzunguko, anaweza kusaidiwa kutatua kwa njia fupi.
 
Nilikua sijui kama kuna desktop za hivyo ahsante kwa kunijuza.
 
Download kutoka playstore app inaitwa Pda net, utainstall kwenye simu.

Ukiifungua itakupeleka sehemu ya kudownload pda net kama software ambayo utainstall kwenye mashine yako.

Utaunganisha simu yako na laptop/ desktop kwa kutumia usb, uta-enable usb debugging kisha utaactivate pda net kwenye simu yako.

Ya kwenye kompyuta itareact, kama kila kitu kimeenda sawa utaoneshwa kua upo connected na hapo unaweza anza kuburudika.

Ila nina swali, kwanini usitumie tu hotspot kutoka kwenye simu yako? Au mashine yako ni desktop?
Hot spot unasupply internet through Wi-Fi lakin tatizo lake haina spidi ukitumia smartphone kama modem inakuwa na spidi kubwa vile vile unaepuka kuwa na moden za kila mtandao
 
Habar wana teknohama, naomba mwenye ujuzi au ufahamu kuhusu app ambayo naweza kuinstall kwenye simu nikatumia kama modem kwenye computer ukiachana na mambo ya tethering na hot-spot ya simu, asante.
Fanya USB tethering tu kama shida hasa ni kutumia simu kama modem. Ila kama unataka an app ya kujaribu app tajwa hapo juu kutoka kwa mdau!
 
Hot spot unasupply internet through Wi-Fi lakin tatizo lake haina spidi ukitumia smartphone kama modem inakuwa na spidi kubwa vile vile unaepuka kuwa na moden za kila mtandao

Modem zinatofautana uwezo kama simu zinazotofautiana uwezo mkuu.
 
Hot spot unasupply internet through Wi-Fi lakin tatizo lake haina spidi ukitumia smartphone kama modem inakuwa na spidi kubwa vile vile unaepuka kuwa na moden za kila mtandao
Mkuu mi natumia smartphone iko speed sana.
 
Hot spot unasupply internet through Wi-Fi lakin tatizo lake haina spidi ukitumia smartphone kama modem inakuwa na spidi kubwa vile vile unaepuka kuwa na moden za kila mtandao
Nunua universal modem mkuu uepukane na haya matatizo!
 
Smartphone zote na modems through its USB port,USB cable or WiFi, ILA SIKULAUMU INAONEKANA WEWE+AKILI YAKO+ SMARTPHONE YAKO AKILI ZENU SIO ZA NCHI HII!, UNA AKILI MGANDO! SIO SWALI LA KUTUULIZA WATU WAZIMA HILI!.
 
Back
Top Bottom