MSAADA: NAOMBENI KUFAHAMU FAIDA ZA KU-HOST BLOG DOMAIN

Mr. Hussein Juma

Verified Member
Mar 5, 2012
729
1,000
Wadau,
Nimefungua blog hivi punde, sasa kumekuwa na kitu hiki cha ku-host blog domain ili kuwa katika mfumo wa world wide web, sasa bado sijajua nini faida zake na gharama zake.


Nawasilisha
 

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,144
2,000
Hii kitu sio lazima uhost unaweza kununua domain na kuidirect kwenye blog yako mfano hii hapa www.bongonewstz.com , faida ni kwamba blog yako inakuwa unique.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom