Simu imegoma kumaliza baada ya kurestart

Milale

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
494
Reaction score
189
Habari zenu wana jukwaa naomba kwa mwenye ufahamu wa hili anisaidie, simu yangu nimeirestart ili nianze upya baada ya kumaliza ikanidai niweke google account. Nimejarb kuweka niliyokuwa naitumia play store imegoma inasema si sahihi,je nifanyeje ili kuifungua naombeni njia mbadala,
 
simu aina gani
 
Back
Top Bottom