Kwa tarifa yako mtoa mada,tecno zooote ni fake
Tembelea Check IMEI - IMEI.info then ingiza IMEI zako. Hapo utapata majibu
ingia hapa na fuata maelekezo yake NAMNA YA KUFAHAMU KAMA SIMU AU BETRY YAKO YA TECNO NI ORIGINALSimu na betri za tecno original za tecno hebu google tecno genuine kuna web utakayoipata fuata maelekezo kuna no zipo kwenye simu ukiziingiza wanakuambia kama ni original
Tecno Simu zao Org.na awatatoa tena ni phantom min.na A7.Wana jf naamini humu kuna kila aina ya watalaam wa simu hivyo naombeni mfanihamishe ni namna gani naweza gundua kuwa aina fulani ya simu ya Tecno ni original na fake. Asanteni kwa kunipa ushirikiano
Unajua maana ya fake?Kwa tarifa yako mtoa mada,tecno zooote ni fake