Poleni kwa majukumu wadau wa jukwaa la teknologia, naomba tujadili ubora wa bidhaa za led tv kutoka brand hizi mbili,binafsi nlienda kununua sony led tv atleast ya kuanzia inch 40 pale game mlimani city lakini katika hali isiyo ya kawaida nkakuta brand mpya ya bruhm,
Kiukweli nlipenda muundo wake nje na picture/vdeo clarity, yaan iko vizuri kuliko sony na samsung,nimefkia hii coz nilipata wasaa wa kuona aina moja ya channel na movie 1 ya hd kuptia brand zote 3 na bado bruhm ilionekana bora kwenye macho yangu.
Kwakuwa bruhm tv ni mpya kwangu nikaamua kuacha maamuzi ya kununua tv siku hyo na nkaanza kufanya utafiti juu ya bruhm lakini mpaka sasa sijaweza kujua country of origin wala website,hawa jamaa wana appliance nying tu kama ac na feni,
Sasa wana jamvi naomba tuijadili ili mimi na wengne wanaotaka kununua bidhaa zao wawe na ujasiri,mara nying nka_search owners wake napelekwa tcl
karbuni