Msaada wa jinsi ya kurudisha majina ya namba ya simu

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
387
250
Natumain mu wazima. Naomba kuuliza app inaweza nisaidia ku restore majina maana namba zimebaki ila hazina majina, kwenye contact msaada wa kuzirudisha.
 
Jan 24, 2015
73
95
Contacts ziwe exported to gmail account,na ukizingatia kwamba huwezi ku access social media na mambo mengine kwenye simu yako bila bila kuwa na account like gmail account sasa unapokuwa unafungua gmail account lazima uwe na password.Gmail account inakutunzia vitu vingi hata picha na social media ,sasa basi likitokea la kutokea kama simu kupotea,kuharibika,kuzima ghafla na mengineyo wewe cha kufanya nunua simu nyingine tumia gmail account yako ileile utakua umeback up mambo yako yaliyokuwa kwenye simu ya awali ni kama mtu unapoteza simu halafu ina fedha kwenye M-pesa,airtel money au tigo pesa utakachofanya ni kusajili kurudisha namba yako ya awali unapewe maelekezo na kampuni la simu husika kisha hela yako inakua salama,Samahani mimi! sio mtaalam wa IT hiyo nimetumia elimu ya kawaida ambayo huwa na apply kwangu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom