NANI ZAIDI KATIKA TEKNOLOJIA

curtis jr2

Member
Dec 22, 2016
68
125
mkuu inategemea na sector gani unagusia mfano vitu kama gaming, animation, memory, camera, magari etc japan wapo juu vitu kama software (operating system), social networking, ndege, processor, etc usa wapo juu.
Kwo unaimanisha kuwa japan ni wataharamu wa vifaa vya umeme tu.
 
Kobello

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
6,898
2,000
Kwo unaimanisha kuwa japan ni wataharamu wa vifaa vya umeme tu.
Labda ungeliweka vizuri swali lako. Vifaa vya umeme vinaweza kuwa ni mjumuiko wa teknolojia nyingi tu.
Vilevile teknolojia ya umeme peke yake inaweza kuwa ya kizamani kama haitahusisha digital technology.

Pia kwa mfano, magari kuna driverless, electric etc... Lkini gari likawa ni "technological device" rather than a technology.

Tecnolojia inayotawala sasa hivi ni digital ambayo imegunduliwa States. Hii teknolojia ipo kwenye viwanda mbalimbali, lakini hii haimaanishi kuwa viwanda hivyo ndiyo vimegundua hiyo teknolojia.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,710

unamaanisha nini unaposema marekani wamegundua digital? una reference?
 
amygdala

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,080
2,000
Je nikweli kwamba marekani inamtegemea israel kisayansi
hio sikweli sematu watu weng wanasema hvyo kwakuwa makampun meng yanayofanya shughuli za teknlojia ya juu huko US yanamlikiwa na wayahudi lakin sasa hawa wayahudi ni wamarekani kwahio si sahihi kusema US wanaitegemea israel kwe tech but vice versa is true
 
Bonesmen

JF-Expert Member
Jan 18, 2016
932
1,000
Marekani yuko power sana katika Tech na ndio inampa jeuri mno, Amepandikiza Spies kila Taifa linaloendelea kuhahakikisha Anaiba kila aina ya Technology inayo kuwa discovered na inapobidi huitangaza mapema na kupatent kupitia scientist wake, Jamaa kashatangulia kweli kweli Huko kwenye mambo ya Millitary ndio kuna Hiden Technology kibao sana anazoficha Usa, Hata mitaala ya vyuoni Vingi huratibu yeye na kuelekeza mambo yatakayo fundishwa ambayo ni Outdate, Vyuo havibadiliki kutokana na mabadikiko ya Tech je unategemea kupata uvumbuzi mpya, syllabus ni zile zile, Bado tena Mawaziri wakupandikizwa kila uchao na matamko, Elimu sio ya kucheza nayo kabisa, Mwisho Usa is betrer than Japan
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom