MSAADA wa app ya Nyimbo za Wokovu za FPCT

McFerson

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,170
Reaction score
2,334
Wapendwa huskeni na kichwa cha uzi hapo juu,,,,
Naomben kwa wale wenye uwezo wa kutuwekea kitabu cha nyimbo za wokovu huko play store atusaidie ,,
Maana naona vitabu vingine vimejaa ila hicho tu ndio hakipatikani.

Lakini pia kama Askofu Batenzi ali~prohibit tuambiwe

Stay blessed
 
Mkuu App haiwekwi inatengenezwa .Hata wewe unaweza kua mmiliki wa App hio nipe tenda after 10 days uipate.
 
Kula jiwe hilo la Barabara ya 13 enzi hizo nilikuwa sijaanza kuonja nyapu ulokole mpaka kwenye ugoko, nakemea mpaka nzi.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jamanii
 
Ulokole ulikuwa zamani jamani. Enzi hizo nafunga tai 24/7. Wadada wote nawaona mashetani.
 
Back
Top Bottom