MSAADA JAMAN WATAALAM WA I.T KUHUSU PC

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,117
1,794
kuna mtu nilimuachia PC yangu, aina ya CP ni comaq, uyo mtu hana uzoefu na ivyo vitu sasa kwa bahat mbaya nilipomuachia aliiwasha ila baadae akaamua kuizima kwa ku command power ivyo kupelekea tatizo kwenye uwakaji, yan ukiwasha screen inaonekana nyeupe tu hai desplay chochote.... sasa kwa anayefaham tatizo ili naomba anisaidie jinsi ya ku solve
 
Ikishindikana jaribu Kubadilisha screen!!!!
 
kuna mtu nilimuachia PC yangu, aina ya CP ni comaq, uyo mtu hana uzoefu na ivyo vitu sasa kwa bahat mbaya nilipomuachia aliiwasha ila baadae akaamua kuizima kwa ku command power ivyo kupelekea tatizo kwenye uwakaji, yan ukiwasha screen inaonekana nyeupe tu hai desplay chochote.... sasa kwa anayefaham tatizo ili naomba anisaidie jinsi ya ku solve
Hiyo computer ni desptop au laptop mkuu?
 
Kagua RAM za hiyo laptop kama zipo secured vizuri kwenye slot zake, tatizo likijirudia jaribu kuazima ram kwa mwezio then jaribu kuwasha. Ikigoma basi peleka kwa fundi unayemwamini
Kama kwenye ram kuna fault lazma kulie alarm during boot. Kwa tatzo la jamaa inawezekana aliemuachia pc alimdanganya. Anaweza akawa ameiangusha au akawa amefanya chochote ku temper na display.. Je haionyesh hata maandish kidogo?
 
kuna mtu nilimuachia PC yangu, aina ya CP ni comaq, uyo mtu hana uzoefu na ivyo vitu sasa kwa bahat mbaya nilipomuachia aliiwasha ila baadae akaamua kuizima kwa ku command power ivyo kupelekea tatizo kwenye uwakaji, yan ukiwasha screen inaonekana nyeupe tu hai desplay chochote.... sasa kwa anayefaham tatizo ili naomba anisaidie jinsi ya ku solve
Nicheki kwa namba 0676040772, ntakusaidia.
 
Sikia ukiwasha bios info zinaonekana? Km ndio tatizo ni bootable files zimecorrupt...solution tafuta
 
Km bios info zinaonekana wakati wa kuwasha...tafuta window repair bootable files then itadisplay fresh...
 
mkuu tatizo hapo ni video adapter hizo Compaq nazijua sana na nimeshasolve matatizo yake kama upo dar ni pm nikufanyie repair..
 
Naona huu ushauri unaupuuzia..
Nilishafanya hvo ikakubsli.
Toa betry then baada kama ya dkk 5 hivi washa direct na umeme bila betry
 
Back
Top Bottom