Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Niko dilemma kidogo hapa nataka kuongezea ka degree kangu ka ICT ila sioni kipya baada ya kufuatilia mitaala ya degree naona Ni yaleyale tu. Kwa wadau mnisaidie kidogo maana nataka nishift...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
habari zenu watanzania wenzangu,
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za mchana wakuu Nina cm 2 Samsung Galax s4 yenye version ya 4.4.4 ya pili huawei y 360 zote nmezifanyia rooting sasa nilikua naomba jinsi ya ku upgrade version niende kwenye 5.0 asanteni...
2 Reactions
3 Replies
890 Views
Kama kuna mtu anafahamu jinsi ya hack....na kutrack mobile number anijulishe
0 Reactions
17 Replies
5K Views
kume kua na umuhimu mkubwa kutoa taarifa na elimu juu ya ku root android devices leo nimeona sio mbaya tushirikishane kile tukijuacho kuhusu rooting.KABLA YA KUANZA: KUROOT SIMU YAKO KUTA...
8 Reactions
154 Replies
34K Views
embu toa maoni yako kuusu hizi tv je ni nzuri? je katika matumiz azipat moto?je umeshatumia au iliwai kwenda kwenye kumbi za sinema ukatumia siku hiyo uliona utofauti gani.embu tujuzane na mm nijue
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Habari zenu waungwana mimi shida yangu ni kwa mtu yeyote aliyewahi kutumia ARDUINO au kuwa na uelewa nayo katika kusoma na kuandika data kwenye hizi eproms za tv ,vcd,dvd nakadhalika kwani hicho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawezaje kufungua account mbili za WhatsApp kupitia hiyo GB WhatsApp? Msaada wadau
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi ndivyo whatsapp for web inavyoonekana. kwa kutembelea https://web.whatsapp.com/ , na utahitajika ku scann QR code kwa kutumia simu yako.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi wapendwa, kwa atakayeguswa naomba anijuze kama ana technique yoyote. Kwa ufupi simu yangu (tecno tablet imeingia maji) inawaka na kuzima inaniumiza kichwa coz bado mpya na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba mwenye winrar nisaidiwe nina shda nayo wakuu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana JF leo ningependa kushare na nyie jinsi ya kutumia flash yako kama ufunguo wa kompyuta yako au password, Basi kwa kuanza basi ni vyema tukajua faida za kuwa na password katika flash...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu... Nina laptop yangu ya toshiba, ilikuwa na window 7 ila baada ya window 10 kutoka ikabidi niipige window 10.... Baada ya kuipiga window 10 ilikuwa inasumbua kuwaka kwaiyo...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu,,,,,,naomba kujua wakuu nitumiee antivirus ipi ya simu aina android phine ni nzuriii?? Msaada jamani
0 Reactions
16 Replies
6K Views
habari za humu...naombeni msaada kwa mwwnye ufahamu wa kudowngrade window phone...some days ago nilidownload window device recovery tool nikafata taratibu zote ila mwishoni inaandika...
0 Reactions
3 Replies
737 Views
Habari wana JF, Nimepata tatizo moja kwny simu yangu, Samsung Note II ghafla imepata tatizo la kutopokea sms, ukijaribu kutuma sms kwa mtu mwengine zinaenda bila tatizo, shida ni pale mimi...
0 Reactions
4 Replies
29K Views
Wakuu mimi natumia samsung S.3 .mini!! Tangu juzi imeanza tatizo yaani upande wa f.b (facebook) kama nikikuta comennt au nikigusa file lake cm inazima na kuwaka yemyewe na ikiwaka inaniandikia...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Wakuu kuna mtu alishawahi kuipata au kuitumia chaneli hii?? Nimeona sifa zake ni FTA inarusha mechi nyingi sana kama ilivyokuwa Sport 24
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Jaman cm yangu inatabia ya kujirudia sms endapo nikiizima na kuiwasha,namaanisha sms ambazo tayari nimeshazisoma nikiwasha cm tu zinaingia as a new sms
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna mtu wangu wa karibu ana tatizo, Pc yake aina ya Tajwa hapo juu (Dell Icore3) ina tatizo katika switch yaan power button, haibonyezek kwwnda ndani wala haitoki kwa nje, imekuwa ngumu sana...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…