MSAADA JAMANI

GGIRRIMATA

Member
Sep 27, 2014
21
1
Natumia tv sumsung ila nikiweka picha zinonesha rangi nyeupe tu kiasi ambacho inaniumiza macho nini kifanyike ili kurekebisha rangi
 
review user manual and done factory reset. if you cant see text please replay model of tv and i give you remote command for it
 
Natumia tv sumsung ila nikiweka picha zinonesha rangi nyeupe tu kiasi ambacho inaniumiza macho nini kifanyike ili kurekebisha rangi
Rangi nyeupe au Black and White?

Hakikisha umechomeka waya wa njano kwenye port ya njano ya AV IN kwenye TV na kwenye dekoda au dvd player AV OUT / VIDEO.

usichomeke kwenye COMPONENT.
 
Back
Top Bottom