Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,166
Habarini wakuu.
Kuna tatzo nalipata kwenye simu yangu, ni kwamba kuna muda huwa nakua bizy na mambo yangu mengine sasa simu inaniletea notification ya whatsapp inayosema "YOU MAY HAVE NEW MESSAGES" lakini ukiifungua application hukuti kitu kipya. Hii kitu imekua inanikera nawezaje izuia isiwe inaniletea hicho kinotification.
Nimejaribu switch simu to silent but still kinaiforce simu ivibrate ingawa simu yangu nilishaitoa vibration (sipendelei simu kuvibrate).
Msaada tafadhali.