Habari wakuu.
Nahitaji hosted Virtual Private Server (VPS) ambayo nitaweza kuunga na remote desktop yangu. Nimecheki mtandaoni zipo huduma nyingi ila ukitaka server yenye RAM ya 1GB au zaidi ada kwa mwezi ni kubwa. Nikapata kampuni moja ya Ujerumani wanatoa kama free trial kwa miezi 6 lakini mpaka sasa hawajanitumia password. wamenitumia username na IP address tu. Nimecheki nao hakuna majibu. Nahitaji extra processing power kwa ajili ya laptop yangu kuprocess some complex calculations. kama kuna yeyote anafahamu inapopatikana huduma hiyo bure au labda kwa bei ya chini anijuze tafadhali. Nawasilisha.