Habari wakuu,
Naomba yeyote mwenye computer yenye GPU tuwasiliane anisaidie kuna software natumia lakini sina GPU kwenye laptop yangu kwa hiyo sipati results nzuri kwa kutumia CPU peke yake. Kama PC yako itaweza kuiendesha vizuri tutaongea na nitakupa kitu kidogo kulingana na performance yake ili uweze kuiendesha kwenye computer yako. Ni lazima computer iwe kwenye internet ili iweze kufanya kazi. Waweza kunitumia namba ya simu kwa PM.