Natafuta desktop

lordD

Member
May 27, 2016
26
4
Nna shida na desktop za core i5 na core i3 second gen. My budget ni 300k mpaka 350k.
 
huwezi pata kw bajeti hiyo. jichange angalau labda kuanzia 450k
 
Core i3
Ram 4Gb
HDD 500Gb

Desktop HP na Nordic za kulala. Complete (Mouse+Keyboard+VGA+Display) .

Bei 380,000/=
Kama uko Dar tuwasiliane.
 
discountkubwa walikuwa wanauza i5 2nd gen kwa 255,000 bila monitor,

pia mtaa wa likoma kkoo zipo kibao tembelea pale kuanzia uhuru na likoma kuendelea mbele
 
Yap bila monitor kwa bei hiyo utapata, zaendelea kushuka kadri siku zinavyoenda mbele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom