Mkuu hapa nina wasiwasi na hoja ya huyu jamaa. Anaposema AVS atakuwa anamaanisha zile Guard/ Surge protector ambazo zaidi zinazuia Surge voltage na umeme unapocheza zinazima kwa dakika 5.Automatic Voltage Stabalizer, Ni Kifaa ambacho kina Regulate stability ya output Yako bila kujali Input ime vary Au vipi Ziko rated kwa Voltage ns current