Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

salama wakuu? mimi nina logo yangu ambayo nili i design kwenye adobe illustrator nkaiprint kwenye plain paper. napenda kufaham sehem hapa dar ambayo nitaweza kuiprint hii design into tshirts na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
SIM ZA TECNO ZINA MATATIZO BALAA Kama ulishawahi tumia smart za tecno lazima ulishawahi kutana na moja au yote matatizo yafuatayo .na utakuja kugundua utofauti kama nawe kwa sasa unatumia smart...
5 Reactions
102 Replies
21K Views
Habari za muda huu wakuu! Naomba msaada na ushauri juu ya Software nzuri zaidi ambayo ni user friend pia ya ku-recover picha zilizokuwa deleted ama zilizopotea baada ya ku-reset simu. Ukitupia na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ram 8gb Core i7 or i5 Graphics iwe nvidia geforce not less than 740 Internal 500gb Used bt good condition PM or Whatsapp only available at 0657229723
0 Reactions
2 Replies
663 Views
Wakuu naomba kufahamu kwanza,,mimi natumia simu inayosupport line ya voda tu,,sasa je nikitumia ile huduma ya kuhama namba bila kubadilisha line,,je simu hii itaweza kuendelea kusupport huo...
0 Reactions
1 Replies
878 Views
jamani nilikuwa naomba kuuliza kwa wataalamu wa haya masuala na yeyote mwenye ujuzi kwamba inawezekana kuhama kimfumo kutoka kwenye simu inayotumia android kuibadilisha iwe inatumia windows phone...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nataka kwenda kuweka window sielewi nikaseme vipi kwa fundi mwenye uwelewa a nisaidie Hapa.. Natumia window 7 aina ni Dell.. Ila Naona hafanyi Kaz Sawa
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Walaghai(hacker) kutishia kufuta mamilioni ya akaunti iCloud kama Apple haita lipa pesa kufikia 7 Aprili 2017. ina semekana kuna taarifa zimeripotiwa kuwa wanadai kiasi cha dola za...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Habari zenu wakuu jamani najaribu ku update simu yangu lakini nakutana na ujumbe huo hapo chini na simu yenyewe ni second hand hivo sijui modifications gani zilifanyika
0 Reactions
30 Replies
3K Views
NA nimejaribu kuweka Vga cable ili ni display kwenye anaza monitor imegoma plz nisaidien nn tatizo
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Imepita miaka 17 toka kampuni ya NOKIA itoe simu yao model ya 3310, mtaani ilifahamika kama NOKIA jeneza, hahahaaaa. Nilipitia siku za nyuma nikakutana na new model ya toleo la Nokia jeneza, hii...
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Jamani mm naongea kutoka moyoni kabisa nilitokea kuipenda iphone ikiwa mm ni bingwa wa simu za android kwakweli nilitamani niiludishe alafu nipewe simu yeyote ata tecno powa simu yangu ilikuwa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. naomba kufahamishwa ni wapi ndani ya jiji la dar es salaam nitapata fundi wa uhakika anaeweza kuflash tablet za android hasa chinese tablets. Asanteni.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu wana Jf simu yangu ilikuwa inajiwasha na kuzima saivi haiwaki kabisa naomba msaada kwa hilo
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF, Kwa heshima na taadhima, naomba mfungue hiyo attachment/clip ikionesha LAPTOP yangu HP 620 namna inavyo behave. Naomba mnisaidie namna ya kutibu tatizo hilo, na ikiwezekana...
0 Reactions
3 Replies
945 Views
Habari wadau! Mimi ni mtaalam mbobezi katika masuala ya IT; Katika hali ambayo wengi hamuijui leo naomba kuwajuza! "Kuna akaunti nyingi sana nimezichunguza kwa utaalam wangu kuhusu mambo haya...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
naomba munisaidie wapi nitapata betri ya IPOD 7generetion
0 Reactions
1 Replies
812 Views
Wakuu mambo zinaendaje? Msaada kwa mwenye kujua, simu yangu samsung note 3 haipokei wala kutoa kitu chochote kinachohusian na whatsaap yaani message, picha wala video kama ntakonnect na mobile...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu wanajf habar zenu Hope mko poa simu yangu ni samsung galaxy j3 (6) inatatizo la kuisha chaji mapema yaani inachelewa kujaa (fully charged) na inaisha mapema sana nimejaribu kubadir chaji...
1 Reactions
87 Replies
14K Views
Download app ya type n walk kutoka playstore na utaweza kuandika sms na kuchat ukiwa unatembea bila shida yyte,ukiwa unaona vitu vya mbele yako
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…