Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau msaada,nimetumia backup ya simu lakini naona haikubali natumia LG F180S,pia simu inatumia Internal memory ya simu tu.
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Wakuu iphone 6 yangu inagoma kuupdate to ios 10.3.1 tatizo linaweza kuwa nn? Mana nimejaribu zaid ya mara 3 inaanza kudownload ila ikitembea kidogo inaleta message ya error
0 Reactions
3 Replies
703 Views
Guys, salaam!!! Huu mjadala nauleta hapa manake baada ya kupitia michango mbalimbali huko kwa wenzetu ni kama hakuna jibu sahihi la which is which kwahiyo ningependa kupata maoni ya Kibongo...
0 Reactions
6 Replies
755 Views
Nina imani hili jamvi limebeba kila aina ya wataalamu . Nina tv yangu aina ya TCL SMART , nashindwa kuunganisha internet ili niweze kuperuzi vitu mbalimbali . Naomba msaada wa maelekezo.
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ni smart Tv aina ya Samsung 6 series Kwa wale wataalamu naOmba mnisaidie kunielekeza jinsi ya kuweza kuunganisha internet kwenye tv hii ili niweze kuangalia mpira kwenye hii tv maana naziona...
1 Reactions
26 Replies
11K Views
HABARI wana jamvi humu..? Ebana mimi nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa miaka mingi japo sikubahatika kusomea mambo ya kumputer ila nilisomea mambo mengine ..lakini nimefanya utafiti binafsi...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Jaman nilikuwa naomba methods za kufungua blog na faida zake
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Je umekwisharoot Android device yako (Smartphone/Tablet) Topic za Android Rooting imekuwa zikijadiliwa sana hapa jukwaani. Lakini mtu anaweza akawa amesharoot simu yake lakini asifahamu kwamba...
5 Reactions
21 Replies
9K Views
Naombeni msaada ni application gani naweza download ili niweze Ku stream live channel za televisions za hapa nyumbani Tanzania.
3 Reactions
4 Replies
5K Views
Nipende kujumuhika nañyi wana jukwaa kupongezana kumaliza mfungo mtakatifu na heri ya Pasaka. Nina shida ya kupata blog ama namna ya kuanzisha blog, kama yupo anayeweza kunisaidia ntafurahi ili...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Nawezaje kutazama zile tamthiliya za telemundo on line, sio zilizopita ila zinazoendelea sasa hv, msaada tafadhari
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Satellites unaweza kuleta ishara digital kwenye maeneo ambapo Internet inaonekana kama miujiza: off-gridi-jangwa mashamba ya jua, Arctic au ndege carrier baharini. Lakini katika beaming data na...
0 Reactions
3 Replies
840 Views
Jamani page yangu ya instagram nikimfollw mtu au akinifollow ina goma yaani ukituma request au ukitumiwa request ukitaka ijibu inagoma sjajua marafiki ndio wamejaa au nifanyeje
0 Reactions
3 Replies
862 Views
Wadau, habarini za kwenu? Kama tittle ilivo, nimepasua display yangu ya samsung ace j1 so kioo kama kimevujia wino ndani.. So natafuta kioo(display) hii simu.. Please kwa mawasiliano ni 0719058458
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Ng'ombe hazeeki maini. Kampuni ya BlackBerry inatarajia kurudi tena sokoni kwa kuzindua Smartphone yake ya BlackBerry Keyone ambayo itakuwa na vitufe vya QWERTY na itatumia mfumo wezeshi...
17 Reactions
91 Replies
11K Views
Naomba msaada. Samsung 6 yangu imeibiwa. Nikiipiga inaita. Bahati mbaya siikumbui IMEI yake. Nifanyeje wandugu. Police wameniambia niwape IMEI lakini siijui. Niko na Halotel
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu sijui ni kwangu tu au na kwenu pia, yani speed ya huu mtandao imekua zaid ya konokono. Yani hata kufungua picha za instagram ni shida,huko YouTube ndo usiseme mpk nimeamua kushusha quality...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Nikirun hizi code... def break_words(stuff): """This function will break up words for us.""" words = stuff.split(' ') return words def sort_words(words): """Sorts the words."""...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habarini wana JF wote. Poleni na majukumu ya kujenga familia na nchi. Wakuu natafuta HTC HD2 ikiyokufa au nzima. Pia natafuta kioo cha Toshiba Satelite C660 pamoja na keyboard yake. Nawatakia...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Habarin waungwana, nna computer yangu aina ya Hp, ilikufa harddisk tukaweka nyingine. Tatito ni kwamba tangu iwekwe hiyo hard disk ingine imekuwa hain sauti. Nimejaribu nimeshindwa. Nimeomba...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…