nataka kubadilisha processor ya pc yang(dell inspiron 15) kutoka pentium (R) 1.9ghz kwende core i3 2.4ghz nataka kujua vitu gani muhimu vya kuangalia ili niupgrade
habarini za asubui nilikuwa na shida moja ivi siwezi ku convert dynamic ip address nayopewa na isp kuwa static ip? na kama haiwezekani. nawezaje pata static ip address na bei inakuwaje? pia ni...
Katika pitapita zangu google playstore nikakutana na app ya Vodacom
Nikaona ni vyema ni install ili nione kuna kipya gani kipo ndani. Baada ya kudownload na kuinstall nika launch app ili niicheki...
Habari wanajamvi?
Ni katika jiji la St petersburg huko urusi ambapo team ya programmers wa kampuni ya Jetbrains walipojaribu kutumia mapungufu ya Java na kuanzisha programming language ambayo...
KWEMA WAKUU!!
?
NAOMBA MSAADA WENU NAMNA YA KUPOST VIDEO,PICHA,AUDIO AU LINK....HUMU JF.
HUWA NATAMANI KUSHARE VITU VIZURI NA NYIE LAKINI NASHINDWA.......MSAADA WENU PLZ.
NATUMIA TECNO W4.
Naomba mnisaidie kanuni za kutafuta divisheni katika matokeo, yaani nimeisha ingiza matokeo kwa mfumo wa grades kwenye spread sheet ya excel, so Nataka nipate points pamoja na divisheni.
Nimekua natamani kujua facebook wanatumia tools gani kuchukua post heading na picha, pale tunaposhare link (tunapo copy link ya website au blog nakuiweka facebook)
Sisi tuna weka link tu, wao...
Wakuu habarini za Weekend
Mimi ni mteja wa CRDB bank. Nina miliki card ya ATM ya account yangu. Mwaka jana nilijaza form kwa ajili ya kufumguliwa huduma ya malipo ya mtandaoni.
Baada ya kujaza na...
R.I.P
samahani jamani naomba msaada Wa tafsiri Wa neno hili maana ni Mara nyingi nimeliona likitumika misibani Na kama MTU kafariki , kupokea/kutoa taarifa za kifo R.I.P ni nini maana yake...
Salam wakuu..naombeni msaada simu yangu Huawei P6 imekufa baseband version inaandika 'UNKNOWN' na laini haisomi kabisa inaandika 'No SIM card'...hii ilitokea baada ya kidude cha kuwekea laini...
Jamani naombaeni mnisaidie namna ya kuflash simu hii kwani nikibonyeza batan ya power na ya kupandishia sauti inanilete recovery na boot lakini nikibonyeza recovery inaandika no command msaada...
Wakuu natumai wazima.
Nilikua naomba msaada wa App au link ya chaneli ambazo zitakazokua zinaonyesha BET AWARDS live leo. Nimesikia ABC ndo wataonyesha hzo nyinginezo bado sijazijua.
Chief-Mkwawa
Habari wana JF, Ni siku nyingine tena ambayo natumaini itaisha salama, kwa siku ya leo ningependa kutoa Tangazo dogo. Tunahitaji watu 10 wa kujiunga na tovuti yetu ya Tanzania Tech kama wahariri...